moft
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 271
- 227
Wako Sana mbezi beach na sinza and tabata saiz route ya uko Bado Bado kdg ila soon watfkafiber ya ttcl na zuku zimefika kimara kwa anayejua kama vipi niunganishe haya masuala ya bundle za vipimio kama mafuta ya kidebe nimechoka hamna raha kwa bundle la kupima