TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Hii ndo Ile ya inch 100?!

Niliiona pale Mlimani City duka la MARS COMM wakati wa Pasaka nadhani ilikua na ofa ilikua inauzwa milioni 10 tu from 16m
Yes Chief ni 100inch na nili inunua ikiwa kwenye Ofa
 
Hiyo ndio Laser TV chief, hiyo picha hapo mbele inatoka kwenye hicho kibox

Pcha ya mbele hilo ni Board unapewa lipo kama ubao,ukilipga hata na chupa linatoa

Mlio wa Mbao tu,ni liboard Pure ila wamelisoften likawekwa kama TV ambapo ukinunua

wanakupa hilo, lina ukubwa wa 100inch, kama ukinunua la 120inch wanakupa board la 120inch

Mkiliwasha mgeni akija hawezi gundua kitu atahisi ni TV,labda mtu makini mchunguzi kama "ulivyo"

ndio umeweza shtuka kuuliza kuhusu hicho kibox,ila ni Bora sana kuliko hata TV ukija kuona nilipoweka

hicho kibox hakionekani na wala hamna anaejua ni Laser TV wateja wote hujua ni TV, nimeweka kwenye

Banda la Mpira Hiyo ni Maalum kwa WORLD CUP this year, World Cup ikianza tu naipeleka OFISINI

saivi nipo nayo home naionja onja utamu wake,ki ukweli natamani kama nighairi ipeleka Ofisini maaana Daah
Nazifahamu laser projector, zinakuwa ni short throw, umbali mfupi tu inakupa picha nzuri. Nilishangaa tu waliposema ni laser tv.

Umeme kama watts ngapi inakula?
 
Naomba kufahamu haya machache, nahitaji hiyo huduma ya internet ambayo ni unlimited. Ila kwa sisi huku mbezi ya kimara maeneo ya magufuli stend sina uhakika kama hizo fiber zimefika.
Kama mnavyojua hizi nyumba za kupanga. Hiyo voda superkasi wanatumia fiber au?
 
Voda wanafunga dish au antenna ambayo inaunganishwa to internet using LTE au MW technology then unapewa na router ambyo waeza connect device zako wireless au using Ethernet cable
 
Nimekuelewa mkuu, wewe ndio umeelezea vizuri voda wanatumia technology gani, nimegoogle nimeelewa.
Halafu chief kuna jambo linanitatiza sana sana nashindwa elewa ni Nilitumia hela yangu vibaya au ni setting au ni Window au ni shida gani sielewi kabisaaaa.

Ofisini nimefunga FIBER computer mbili nimeconnect kwa kutumia LAN CABLES na computer ya 3 ambayo ndio hii naitumia nimeconnect kwa kutumia wireless.

Shida ninayopata kubwa ni internet speed,computer nilizo connect router kwa cable watumiaji wake ni watu wa ku surf tu kustream youtube, mimi hapa ndio nina kazi kubwa ya kushusha Movies na Files kubwa kubwa kama Games NA SOFTWARE kubwa kubwa.

Computer yangu iko slow sana sana sana kwenye kudownload,nikagoogle nikaona kuwa wireless haiwezi kuwa speed kama cable, nikaona sawa acha niachane na wireless niunge cable pia kwenye hii mashine yangu labda speed itaongezeka.

Ajabu ni kwamba speed imebaki pale pale sioni tofauti yyte ile,mwanzo sikunotice huo utofauti nikawa nawalalamikia kweli hawa majamaa walioniungia net wakija naona kweli kuna slow down ila waki connect kwenye laptop zao Mbps zinasoma za kumwaga yani mzeee.

Kuna siku nikasema hebu hebu leo niache hii mashine yangu nitumie 1 ya computer ya wafanyakazi wangu, Nikaenda shushia Movie kwenye computer ya mfanyakazi, bwana bwana bwana sikuamini nilichokiona au kukutana nacho.

Movie zinashuka kama vile nadownload Nyimbo za MB kadhaaa tu, naselect torrent zangu kisha naziacha namwacha dogo aendelee na kazi, nikitoka nnje nikirudi ndani nikichungulia nakuta zishashuka mbili, nikikaa kama 2hrs sikuti movie au file linalodownload lililo chini ya 95% kumaliza, yani nimejikuta nazitamani computer za madogo sana.

Hapa akili inawaza mambo mawili

1.Kununua computer kama wanazotumia madogo, hii yangu ibaki ya kuangalizia Movie tu.
2.Ku Update hdd nitumie SSD (labda inaweza saidia) sina uhakika

Sipati ubora wowote nilioutegemea kulinganisha na pesa niliyonunulia hii mashine ninayoitumia.

Mashine Ninayoitumia Mimi ni HP ENVY ALL IN ONE 27 - i7 Ram 16GB
Mashine ya dogo wa kwanza inayoshusha movie kama upepo ni DELL OPTILEX 9020-i5 Ram 12gb
Mashine ya dogo wa pili inayoshusha movie vyema pia ni HP COMPAQ ELITE 8300 CMT-i3 Ram 8gb

Naomba ushauri wako nini nifanye kwenye hii mashine yangu HP ENVY ALL IN ONE 27 - i7 ili nipate speed kali na bora kabisa maana ki ukweli naipenda hii mashine ila inanifanya niite "KUBWA JINGA" sioni maajabu yake kbsa.

Mashine zote nime install WINDOW 11 PRO.

Picha linaanza wakati wa kuwaka tu,mashine za madogo zitawaka chap chap ila hili kubwa jinga langu litakua lina Load Tu,ili nianze itumia huwa naiwasha naipa muda ijiload ifanye mambo yake yani about 5 to 10min siigusi ila bado ina kauzito flani hivi,sio nyepesi kama wenzake.

Shida inaweza kuwa nini Hapo chief kwenye hii mashine yangu,Hasa Hasa kwenye hili swala la internet Speed.

Msiache kutoa neno hapa ndugu zanguni Movies Store CONTROLA ymollel Chief-Mkwawa
 
Sijajua mkuu exactly model ya hio hp envy yako, kama ni ya kizamani sana pengine network card ina shida, ama driver hazijaekwa.

Kwa kuanzia anza na ku update driver zote za Ethernet na wifi kisha uangalie kama itasaidia.

Pia angalia kama network adapter yake ni hizi za m2 kama za laptop, kama ni hizo waweza tu chomoa kwenye laptop ya karibu ukatest.

Issue nyengine pia inawezekana umepigwa pini kwente router, hizi router za kisasa unaweza ku assign kila mtu apate speed gani.
 
Back
Top Bottom