TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Hii ping ni hapa hapa Tanzania? Imetumia server gani? Jaribu labda kucheki detailed result kuona zaidi
Duh. Mnacho Ongea naona kama miujiza!! MI nipo arusha nipo gizani hata sielewi kitu mpaka nakata tamaa nimeomba Kuanzia mwezi wa kwanza mpaka Sasa kimya
 
Nipo Dar es Salaam Mbagala nani mwenye changamoto kama yangu jaman ni wiki ya 3 sasa Superkasi hawajaniletea huduma nishalipia na 240,00/=0 yao.
 
Nipo Dar es Salaam Mbagala nani mwenye changamoto kama yangu jaman ni wiki ya 3 sasa Superkasi hawajaniletea huduma nishalipia na 240,00/=0 yao.
Mcheki agent aliyekuunga au wasiliana na watu wa customer service
 
IMG_2789.jpg

Voda Superkasi iko vizuri ninachopenda zaidi router yao unaweza kwenda nayo popote na inakaaa na charge more than 2 days

Internet ni unlimited Kila mwezi unalipia bill 115,000
 
Ili upate speed nzur kwa ttcl tumia wifi 5 kama simu yako au device yako inaruhusu.
PXL_20230503_165902052.jpg
 
Ila jamani 5g ni moto huwezi kutumia 5g kwa bado za 2000 kelele zitazidi kwa mtandao ya simu. imagine kufanya iyo test tu mb300 zishaenda ..sipati picha

PXL_20230503_165948949.jpg
 
Nipo Dar es Salaam Mbagala nani mwenye changamoto kama yangu jaman ni wiki ya 3 sasa Superkasi hawajaniletea huduma nishalipia na 240,00/=0 yao.
Mrejesho kwa changamoto yangu... Leo imeishia wiki ya 3 sasa Vodacom Supakasi ndo wameniletea Router yao.

Kwanza kabisa nililipia 5g kwa shilingi 240,000/= badala yake kufungua mzigo kumbe wameniletea wa 4g (nimeshapeleka malalamiko sijui itachukua siku ngapi kunijibu kama tu kuleta huduma wame delay siku 18)

Hawa wajinga nime wa-mind sana afu hata iyo 4g yao ipo slow inapanda na kushuka kwanye ku download ipo around 2MB to 5KB per second na sometimes hakuna network kabisa. Speed ni nzuri ila kwa kazi niliotaka kufanyia kama mteja nilietegemea walau 10Mb/s au 5Mb/s wameniangusha sana.

Nilicho jifunza kuusu delay ni hawa ma agent sio waaminifu nilichogundua wanasubilisha order yako ili tu wafanye timing ya kamishen yao hawana lolote wanasingizia vifaa havipo kama vile wao ni tanesco wakati watu tunatoa hera nyingi. Kwa ufupi huduma ya Vodacom supakasi ni ovyo tofauti na hera unayolipia 🤮🤮🤮
 
View attachment 2605045

Voda Superkasi iko vizuri ninachopenda zaidi router yao unaweza kwenda nayo popote na inakaaa na charge more than 2 days

Internet ni unlimited Kila mwezi unalipia bill 115,000
Jumla ya Gharama zote mpaka niipate huduma yao ni shilingi ngapi na ninaanzia kwa ofisi zao au maajenti wao?
 
Jumla ya Gharama zote mpaka niipate huduma yao ni shilingi ngapi na ninaanzia kwa ofisi zao au maajenti wao?

230k kwa 4G, 240k kwa 5G ila 5G itakulazimu ununue router hiyo ni nje ya 240k.
Nenda kwenye ofisi zao kitengo cha Voda Business ukiwa na copy za Kitambulisho cha NIDA na copy ya TIN number.
 
230k kwa 4G, 240k kwa 5G ila 5G itakulazimu ununue router hiyo ni nje ya 240k.
Nenda kwenye ofisi zao kitengo cha Voda Business ukiwa na copy za Kitambulisho cha NIDA na copy ya TIN number.
Asante Sana mkuu
Na je hii ni unlimited halisi au ni kufuata a na matumizi yako ndo itakufikisha mwezi?
 
Asante Sana mkuu
Na je hii ni unlimited halisi au ni kufuata a na matumizi yako ndo itakufikisha mwezi?

Mkuu hii kipimo ni speed tu. Hakuna kipimo kingine tena kama unaweza tumia 1TB kwa mwezi ni wewe tu.
 
230k kwa 4G, 240k kwa 5G ila 5G itakulazimu ununue router hiyo ni nje ya 240k.
Nenda kwenye ofisi zao kitengo cha Voda Business ukiwa na copy za Kitambulisho cha NIDA na copy ya TIN number.
240k ndio malipo ya kila mwezi au ni initial investment tu? Fafanua hapo
 
Hivi mpaka Leo Elon musk wamembania na internet yake Nina amini angepewa fursa huyu jamaa hapa nchini Hawa wakina voda na mwenzake akili ingewakaa sawa.

Tuna urasimu wa hivyo Sana hii nchi.
 
Back
Top Bottom