TTCL iko vizuri mkuu, hiyo internet unayotumia kupost hapa iwe ni unatumia Vodacom, tigo, smart, Zantel au airtel jua tiari ushawalipa TTCL, unapoona wanatoa gawio usidhani ni hadithi.
TTCL ndie Internet service Provider( ISP ) popote unapoona internet .Ndio mwenye mkongo wa Taifa
Kwanini sasa Internet ya TTCL inakasi ya konokono?TTCL iko vizuri mkuu, hiyo internet unayotumia kupost hapa iwe ni unatumia Vodacom, tigo, smart, Zantel au airtel jua tiari ushawalipa TTCL, unapoona wanatoa gawio usidhani ni hadithi.
Kwahiyo?TTCL ndie Internet service Provider( ISP ) popote unapoona internet .Ndio mwenye mkongo wa Taifa
serekali haikushindwa kufanya hivyo kwa Fastjet (yaani kuilipisha commission kupitia TAA). ikaona iwe inafaidi moja kwa moja. sasa hivi local air travel imekuwa changamoto kubwa sana baada ya Fastjet kuondolewa sokoni ki-Mafia.
serekali hii haitaki kula asali pekee, bali inachoma na mzinga kabisa ipate na kuni za kupikia. hiyo asali itapatikanaje baada ya kuchoma mzinga? hapo ndipo Watanzania wazalendo wa kweli wanapaswa kujitafakari... tunapelekwa wapi?
Like son like fatherTatizo la TTCL hakuna business plan, wanalamisha watumishi wa umma watumie laini zao ila mtaani siwaoni wakitafuta wateja
Sent using Jamii Forums mobile app
TTCL ndie Internet service Provider( ISP ) popote unapoona internet .Ndio mwenye mkongo wa Taifa
Mimi naitumia tu kwenye modem na kiukweli internet yao ni bomba sana sijapata matatizo yoyote.TTCL kwenye data bundle ni majanga , mpak uwe mjin kati ndo mtandao unakuwa speed , ukizunguka uwani tu no network , labda kwenye bundle za dk wanajitahd .....huenda Kwa sababu hawana coverage nzur
Juzi nilichukua laini ya TTCL , Ila sa hv nimeifungia kwenye kabati....
Kha, hahaaaaa kama mifano yako Ndiyo uhalisia wa TTCL ana makampuni ya simu basi twafa!Hivi kampuni ya cement inayowauzia suppliers inapata pesa nyingi kuliko hao suppliers? Mfano mwingine mrahisi, wakulima wanaolima mahindi na kuwauzia madalali, wao wana vipato vikubwa kuliko hao madalali? Uza ubongo huo unakaa nao kwa hasara.
Hao jamaa ni ndezi kweli , hata location ya branches zao online hawana , Mimi mpak niliwatafuta kwenye email ndo wakanielekeza ofisi zao zilipo ,...Kampuni haina promotion kabisa, sijui wanawaza nini? Hivi kweli watapata wateja wapya kweli. Au kuna soko flani wanalilenga ndio maana hawafanyi marketing.
Hawataweza kumpa uhuru wa yeye kuwa creative kutokana na mfumo wa uendeshaji wa TTCL.Mimi nilishasemaga TTCL wampe mtu kama Kelvin twissa waone makampuni ya simu mengi mchini yanamkono wake kukua halafu jamaa fitina za biashara hiyo anazijua
au kuwalazimisha wafanyakazi sekta ya umma kununua line, siwezi kukulipa mshahara mwenyewe afu usitumie TTCL
Hasara Umfika Mwenye Mabezo
Hajielewi TTCL ndie muuzaji wa jumla hizo.kampuni za Simu Ni wanunuzi wanaununua duka la jumla TTCL na kuuzia reja reja wateja wao