TTCL hoi kwenye soko la mawasiliano nchini

Wazee wa kutoa gawio. Hapo hapo wanaomba hela ya kuwekeza
 
Sawa, jibu ni serikali ya Tanzania
 
Sawa, jibu ni serikali ya Tanzania
Mkuu wanajinadi wenyewe Serikali ya CCM tusiwalishe maneno!!
Tukirudi kwenye mada "TTCL wamepoteza ubunifu na woga wa kujaribu vitu vigumu vyenye tija! Laiti wangekuwa makini ushauri mwingi wenye tija waliowahi kupewa ungewavusha na katika hili sioni haya kuwaambia WAKASOME KWA HALOTEL ambayo ni kampuni changa kabisa hapa nchini
 
Sure.. network ya ttcl iko low sana.. na haisomi baadhi ya maeneo hapa dar.. inasoma 4G ukiwa posta na kariakoo... Ukitoka nje ya hapo ni majanga.. Hata H haisomi.. wabadilike..
 
Sure.. network ya ttcl iko low sana.. na haisomi baadhi ya maeneo hapa dar.. inasoma 4G ukiwa posta na kariakoo... Ukitoka nje ya hapo ni majanga.. Hata H haisomi.. wabadilike..
Taja eneo unalopatikana ili urekebishiwe network.
Mbona mimi niliwaambia nipo Buza wakarekebisha na napata network vizuri kabisa.
 
Ni rahisi kuliteka soko la simu kwa hapa Tanzania kama gharama zikiwa fair na kutokuwa na wizi wa kijingakijinga sababu huu ni udhaifu mkubwa wa makampuni ya simu
 
Kwahiyo unawashaurije mkuu?
Vipi kuhusu maoni na ushauri wako?
 
TTCL NI MAREHEMU ANAYEBEBWA
 
TTCL iko vizuri mkuu, hiyo internet unayotumia kupost hapa iwe ni unatumia Vodacom, tigo, smart, Zantel au airtel jua tiari ushawalipa TTCL, unapoona wanatoa gawio usidhani ni hadithi.

Tunafuata data, Sasa wewe wahoji Tcra
 
Kwahiyo unawashaurije mkuu?
Vipi kuhusu maoni na ushauri wako?
Hawashauriki Mkuu wala sihitaji kuwashauri tena (walikuweko kina Engineer Rwakatare) tuliwapa ushauri enzi hizoo miaka ya 200x wakubwa wao aidha waliona haufai au waliuogopa!!! Warudi kwenye makabrasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…