Tetesi: TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi

Sasa jiwe kaingiaje hapo au anaongoza bado kutokea kaburini
 
Kwa bei hizo watasubiri sana!! WAtafanana na DSTV ambao wameng'ang'ania bei ya zaidi ya laki moja kwa kifurushi cha compact plus ili kuona EPL. Matokeo yake watu wamekomaa na vibanda umiza!! Wangeshusha angalau ikawa 50,000/= watu wengi sana wangenunua na wangepata faida sana.

Sasa hawa TTCL wanataka sh 55,000 kwa intanenti spidi ya chini kwa mwezi, itabidi wasubiri sana! wangefanya sh 20,000/= wangepata watu wengi.
 
Sasa sie wazee wa pilau sii ndio itakuwa full burudani
 
Mbona hueleweki sasa? Mara BURE. Mara bill kwa mwezi! Ndo nini sasa? Kwa hiyo ukilipia kwa bill basi ni bure eti??!!
 
Utadhani kweli sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…