Kumekuwa ni kilio cha muda mrefu kuhusu upatikanaji wa
unlimited internet kwa gharama nafuu. Ilikuwa inashangaza ni kwa nini shirika kubwa kama
TTCL Customer Care haliichukui hii fursa (hata kwa kushirikiana na
TANESCO ili kutumia nguzo zao). Sasa wapo kwenye right track na watasambaza
internet kila kona kuanzia mwaka ujao wa fedha; unajichagulia speed yako kulingana na uwezo wa kulipia kwa mwezi. Asante Jiwe Magufuli kwa kulipa shirika uwezo wa kufanya makubwa, historia itakukumbuka daima.
Bei za vifurushi kwa mwezi:
10mbps > 55,000
20mbps > 100,000
30mbps > 150,000
50mbps > 200,000
cc
C.T.U
#KaziIendelee