Mkuu kwema hii kitu ipo nazani ujaeleza vizuri na mtoa mada 10mbps ni kiwango unachopokea kutoka kwa mtoa huduma(ISP) unapolipia huduma iyo T-fiber toka TTCL basi utaweza tumia ndani ya mwezi mzima na kudownload chochote kwa GB utakazoweza ndani ya mwezi ndo mana tunasema unlimited wengine usema home internet service or small office internet ,lakini unaweza ongeza package na ghalama itapanda kiasi ila kwa makampuni mengi sasa bei zao uwanzia Tsh 55,000/= kwa TTCL ,Zuku fiber wao Tsh 69,000/= wanatoa 10mbps kwa minimum package yao installation fees ni free ,gofiber wao utoa 20mbps minimum package installation cost yao ni Tsh 200,000/=,vodacom super kasi wao 10mbps minimum package yao ni Tsh 115,000/= installation coast ni free,Raha wana liquid home wao 10mbps utoa kwa 50,000/= installation ni free ,konnect wao wana 10mbps kwa 60,000/= ila itakulazimu lipia Tsh 345,000/= kwa ajili ya installation materials. Hizo ni kampuni chache kati ya nyingi zinazotoa home internet yaweza kua fiber ama antenna device hapa atuzungumzii hizi internet za GSM sim card.
Sent from my SM-G935T using
JamiiForums mobile app