Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
unless kama unatumia matumizi makubwa kama ya ofisi au la, ila kwa matumizi ya kawaida kama majumbani au sarijala 10mbps zinatosha kabisaKwa bei hizo watasubiri sana!! WAtafanana na DSTV ambao wameng'ang'ania bei ya zaidi ya laki moja kwa kifurushi cha compact plus ili kuona EPL. Matokeo yake watu wamekomaa na vibanda umiza!! Wangeshusha angalau ikawa 50,000/= watu wengi sana wangenunua na wangepata faida sana.
sasa hawa TTCL wanataka sh 55,000 kwa intanenti spidi ya chini kwa mwezi, itabidi wasubiri sana! wangefanya sh 20,000/= wangepata watu wengi.