Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Wabongo utawaweza 😀😀Mkuu ndio natuma muda huu hapa nalipia 115000 kwa mwezi mambo ambayo hamyajui msibishe jifunzeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo utawaweza 😀😀Mkuu ndio natuma muda huu hapa nalipia 115000 kwa mwezi mambo ambayo hamyajui msibishe jifunzeni
Raia ni wabishi mkuu sisi tunatumia hadi gb 300 kwa siku tuna download movie na ku upload bado watu wanashinda YouTube kutwa nzimaVoda hata 100gb unashusha kwa siku..acha ubishi!
Hapo unlimited speed ipo wapi wakati limit ni 10mbps?Nchi gani Dar hapa zuku nalipia 69,000 kwa mwezi unlimited speed ya 10Mbps ( Shared) na iko spidi sana sijawahi ona sehemu ina load maana wanakuungia fiber moja kwa moja
Inaonekana hujui vitu hizo nchi zingine ndo hata walishasahau bili z ainternet znalipwa kama bili za maji monthly
Kwa kifurushi gani, cha shilingi ngapi kwa muda gani?Voda hata 100gb unashusha kwa siku..acha ubishi!
Kila kitu kinawezekana, ni suala la muda tu
Hawa voda ili upate hii huduma Ni lazima uwe na karibu na hizo fibre zao au utaratibu ukoje chief?Raia ni wabishi mkuu sisi tunatumia hadi gb 300 kwa siku tuna download movie na ku upload bado watu wanashinda YouTube kutwa nzima
Mkuu kwema hii kitu ipo nazani ujaeleza vizuri na mtoa mada 10mbps ni kiwango unachopokea kutoka kwa mtoa huduma(ISP) unapolipia huduma iyo T-fiber toka TTCL basi utaweza tumia ndani ya mwezi mzima na kudownload chochote kwa GB utakazoweza ndani ya mwezi ndo mana tunasema unlimited wengine usema home internet service or small office internet ,lakini unaweza ongeza package na ghalama itapanda kiasi ila kwa makampuni mengi sasa bei zao uwanzia Tsh 55,000/= kwa TTCL ,Zuku fiber wao Tsh 69,000/= wanatoa 10mbps kwa minimum package yao installation fees ni free ,gofiber wao utoa 20mbps minimum package installation cost yao ni Tsh 200,000/=,vodacom super kasi wao 10mbps minimum package yao ni Tsh 115,000/= installation coast ni free,Raha wana liquid home wao 10mbps utoa kwa 50,000/= installation ni free ,konnect wao wana 10mbps kwa 60,000/= ila itakulazimu lipia Tsh 345,000/= kwa ajili ya installation materials. Hizo ni kampuni chache kati ya nyingi zinazotoa home internet yaweza kua fiber ama antenna device hapa atuzungumzii hizi internet za GSM sim card.Hapo unlimited speed ipo wapi wakati limit ni 10mbps?
Kwahiyo ukilipia bill ya maji kwa mwezi ndiyo umeruhusiwa kufungulia bomba utakavyo?
Atakujibu tena "hapo unlimited speed iko wapi"?Mkuu kwema hii kitu ipo nazani ujaeleza vizuri na mtoa mada 10mbps ni kiwango unachopokea kutoka kwa mtoa huduma(ISP) unapolipia huduma iyo T-fiber toka TTCL basi utaweza tumia ndani ya mwezi mzima na kudownload chochote kwa GB utakazoweza ndani ya mwezi ndo mana tunasema unlimited wengine usema home internet service or small office internet ,lakini unaweza ongeza package na ghalama itapanda kiasi ila kwa makampuni mengi sasa bei zao uwanzia Tsh 55,000/= kwa TTCL ,Zuku fiber wao Tsh 69,000/= wanatoa 10mbps kwa minimum package yao installation fees ni free ,gofiber wao utoa 20mbps minimum package installation cost yao ni Tsh 200,000/=,vodacom super kasi wao 10mbps minimum package yao ni Tsh 115,000/= installation coast ni free,Raha wana liquid home wao 10mbps utoa kwa 50,000/= installation ni free ,konnect wao wana 10mbps kwa 60,000/= ila itakulazimu lipia Tsh 345,000/= kwa ajili ya installation materials. Hizo ni kampuni chache kati ya nyingi zinazotoa home internet yaweza kua fiber ama antenna device hapa atuzungumzii hizi internet za GSM sim card.
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hujui usemaloShida internet yao iko slow sana
Natamani waanze hata leo hawa makampuni ya simu ni wezi kupita maelezo asante sana magu kwa kutuletea ttclKumekuwa ni kilio cha muda mrefu kuhusu upatikanaji wa unlimited internet kwa gharama nafuu. Ilikuwa inashangaza ni kwa nini shirika kubwa kama TTCL Customer Care haliichukui hii fursa (hata kwa kushirikiana na TANESCO ili kutumia nguzo zao). Sasa wapo kwenye right track na watasambaza internet kila kona kuanzia mwaka ujao wa fedha; unajichagulia speed yako kulingana na uwezo wa kulipia kwa mwezi. Asante Jiwe Magufuli kwa kulipa shirika uwezo wa kufanya makubwa, historia itakukumbuka daima.
Bei za vifurushi kwa mwezi:
10mbps > 55,000
20mbps > 100,000
30mbps > 150,000
50mbps > 200,000
cc C.T.U
#KaziIendelee
Nitafuatilia mkuu kama ni kweli naweza kufanya biasharaMkuu kwema hii kitu ipo nazani ujaeleza vizuri na mtoa mada 10mbps ni kiwango unachopokea kutoka kwa mtoa huduma(ISP) unapolipia huduma iyo T-fiber toka TTCL basi utaweza tumia ndani ya mwezi mzima na kudownload chochote kwa GB utakazoweza ndani ya mwezi ndo mana tunasema unlimited wengine usema home internet service or small office internet ,lakini unaweza ongeza package na ghalama itapanda kiasi ila kwa makampuni mengi sasa bei zao uwanzia Tsh 55,000/= kwa TTCL ,Zuku fiber wao Tsh 69,000/= wanatoa 10mbps kwa minimum package yao installation fees ni free ,gofiber wao utoa 20mbps minimum package installation cost yao ni Tsh 200,000/=,vodacom super kasi wao 10mbps minimum package yao ni Tsh 115,000/= installation coast ni free,Raha wana liquid home wao 10mbps utoa kwa 50,000/= installation ni free ,konnect wao wana 10mbps kwa 60,000/= ila itakulazimu lipia Tsh 345,000/= kwa ajili ya installation materials. Hizo ni kampuni chache kati ya nyingi zinazotoa home internet yaweza kua fiber ama antenna device hapa atuzungumzii hizi internet za GSM sim card.
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Mbona nijuavyo package yao uwanzia 69,000/= kwa 10mbps iyo 40,000/ ni kwa package gani mkuu?Kwa huduma za fibres Zuku hana mpinzani unalipia elf40 unapata unlimited data mwezi mzima na speed ni ya farasi
Sawa mkuuNitafuatilia mkuu kama ni kweli naweza kufanya biashara
Mbona zimeshafika kitamboMbagara kiwalani,buguruni ,zitafika?
Mbona zimeshafika kitamboMbagara kiwalani,buguruni ,zitafika?
Nchi gani hapa duniani wana hiyo huduma ya unlimited internet bundle? Zitaje 3 nione