Tetesi: TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi

Tetesi: TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi

Kumekuwa ni kilio cha muda mrefu kuhusu upatikanaji wa unlimited internet kwa gharama nafuu. Ilikuwa inashangaza ni kwa nini shirika kubwa kama TTCL Customer Care haliichukui hii fursa (hata kwa kushirikiana na TANESCO ili kutumia nguzo zao). Sasa wapo kwenye right track na watasambaza internet kila kona kuanzia mwaka ujao wa fedha; unajichagulia speed yako kulingana na uwezo wa kulipia kwa mwezi. Asante Jiwe Magufuli kwa kulipa shirika uwezo wa kufanya makubwa, historia itakukumbuka daima.

Bei za vifurushi kwa mwezi:
10mbps > 55,000
20mbps > 100,000
30mbps > 150,000
50mbps > 200,000
cc C.T.U
#KaziIendelee
Kwa bei hizo tayari walishafeli.
 
Wamechelewa sana, nilimwambia kiongozi fulani miaka Ile fibre inaingia TZ nikamwambia aandike Andiko awapelekee wakubwa Leo hii TTCL angekuwa giant wa internet nchini
 
Unapoambiwa unlimited hapo ni changa la macho!! wanachokifanya ni kukupa spidi ndogo hadi kero ili baada ya mwezi hata GB 10 hujatumia!
hahahaha hio ni kwa mujibu wa Bongo ila kwa wenzetu hamna huo upumbavu! Ukiuziwa 10MBPS ni chap kweli full time unainjoy tu net
 
Uzi wa tetesi kama huu wa 2018,
Mpaka leo
 
Nchi gani hapa duniani wana hiyo huduma ya unlimited internet bundle? Zitaje 3 nione

Nchi gani Dar hapa zuku nalipia 69,000 kwa mwezi unlimited speed ya 10Mbps ( Shared) na iko spidi sana sijawahi ona sehemu ina load maana wanakuungia fiber moja kwa moja

Inaonekana hujui vitu hizo nchi zingine ndo hata walishasahau bili z ainternet znalipwa kama bili za maji monthly
 
Hakuna huduma hiyo kwa vodacom. Zamani ilikuwepo Airtel na halotel na ilikuwa lazima uamke usiku wa manane mwisho saa kumi na mbili asubuhi , kwa sasa hakuna unlimited bundle kwa Tanzania
Mkuu ndio natuma muda huu hapa nalipia 115000 kwa mwezi mambo ambayo hamyajui msibishe jifunzeni
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    558.8 KB · Views: 44
Back
Top Bottom