Tetesi: TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi

VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi

For more information
Please check me [emoji338]0744355811
 
Nchi gani hapa duniani wana hiyo huduma ya unlimited internet bundle? Zitaje 3 nione
Wifi mara zote nchi za wenzetu uwa ni unlimited unachouziwa ni speed. Ndio maana watu wakiwa majumbani wanatumia wifi. Hili jambo likifanikiwa hata watumiaji wa netflix wataongezeka
 
Mkuu vipi kuhusu agreement ya kumfunga mteja muda wa kutosha?
 
Hivyo ni vya T-Fiber:


Nduki Package hivi Hapa (Unlimited GB):

 
Sasa itabidi ninunue Smart TV 4K kwani bila kuwa na intaneti ya uhakika hizi smart Tv zinakuwa ni kama pambo tu sebuleni
 
NEW PACKAGE VODACOM INTERNET (5G)

PRICE PER MONTH

[emoji117]30Mbps-[120,000]-Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]50mbps>[150,000]Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]100Mbps>[250,000]unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]200Mbps>[400,000]Unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]350Mbps[600,000]Unlimited bundle speed ya 5G

For more information kindly check me DM or call 0744355811
 
Itakuwa kwa wenye kipato cha juu tu, nashauri bei ziwe rafiki kwa low income earners
 
Wamejipangaje kwenye customer care maana huwa wana kawaida ya kurushiana mpira kama kitu hawakijui
 
Waokote wapi hiyo budget ya free installations ? Walikuja ofisini kwetu tukawape appointment ya discussion hawakuwahi kutia mguu tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…