Tetesi: TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi

Huna kazi ya kufanya mpaka ulete uzushi wako huku?
 
Hizo janja janja kwanza wameshindwa kusambaza vocha na mtandao wao kwenye net uko ovyo na mtandao wao uko Sana mijini halotel wakijipanga vizuri watashika watu wengi Sana kwa sababu wako mijini na vijijini
 

mkuu hapa kuna gharama za ziadi kwenye uungaji? na je kama ziapo zikoje?
 
mkuu hapa kuna gharama za ziadi kwenye uungaji? na je kama ziapo zikoje?
Hakuna installation cost Wala nn boss ni kulipia security deposit of 2 months payment then unafungiwa huduma chap
 
VODACOM INTERNET (5G) SUPAKASI

PRICE PER MONTH

[emoji117]30Mbps-[120,000]-Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]50mbps>[150,000]Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]100Mbps>[250,000]unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]200Mbps>[400,000]Unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]350Mbps[600,000]Unlimited bundle speed ya 5G

For more information kindly check me DM or call 0744355811

It's 5G FWA (fixed wireless access) sahau LTE TDD ( antenna
 
Hawa hawa TTCL ambao hata sms zao haziendi?
 
Huamini, mbona kuna watu wengi tu tumewafungia na wanaendelea kufurahia spidi ya ajabu toka TTCL Fiber.
Umebaki wewe pekee yako.

#RudiNyumbaniKumenoga

Dar tu hata 30% fiber coverage TTCL hajaifikia, na shida sio TTCL bali ni ujenzi holela wa makazi...

Fiber yao ipo sehemu chache tena maeneo yaliyopangwa vizuri, na ajabu ni kuwa hadi leo TTCL anauza internet ya ADSL...
 
Ww unaweza kulipa hiyo 55
 
Dar tu hata 30% fiber coverage TTCL hajaifikia, na shida sio TTCL bali ni ujenzi holela wa makazi...

Fiber yao ipo sehemu chache tena maeneo yaliyopangwa vizuri, na ajabu ni kuwa hadi leo TTCL anauza internet ya ADSL...
ADSL au Fiber inategemea na mahitaji ya mteja. Mwenye ADSL kuna vifurushi nafuu imagine unalipa 25,000 tu kwa mwezi then unatulia ghetto unaperuzi tu. Yaani wewe imagine tu.
Imagine Being US

#RudiNyumbaniKumenoga
 
Hawa nitawapataje
 
Wapo ovyo tu, hii huduma inasambwazwa kwa wale wanaoishi mjinimjini watu wanaokaa sijui Kisemvule hawawezi kuipata hii huduma.
 
Tupo mjini tumejaza form mwaka jana mwezi kama huu hadi sasa ni danadana tu. Ni kweli wamatoa hiyo huduma ila hawana pesa kununua vifaa vya kutosha. Serikali inaihuju TTCL kimyakimya. Wakipeleka bajeti ya kununua vifaa ili wafikie watu wengi wanaambiwa wasubiri. Na hapo wanakua wanaomba kutumia hela walizokusanya wao wenyewe TTCL.

CCM wako radhi kufadhili watu wajinga kueneza propaganda zao lakini sio kuacha mashirika yenye nia ya kujiendesha yaendelee. Adui nab moja wa nchi hii ni CCM.
 
Nilishawahi kupendekeza kama kuna mtu ana haraka ya kifungiwa huduma AJINUNULIE VIFAA MWENYEWE kisha TTCL watakuja kumfungia free.

Kama hauna hela basi wasubiri
 
Nilishawahi kupendekeza kama kuna mtu ana haraka ya kifungiwa huduma AJINUNULIE VIFAA MWENYEWE kisha TTCL watakuja kumfungia free.

Kama hauna hela basi wasubiri

Niliwauliza je inawezekana nikajinunulia vifaa wao wakaja nifungia tu. Wakasema haiwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…