JackisonDubai
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 537
- 1,282
Rais Samia uliambiwa na kuonywa kuhusu kurudisha hawa majizi wasiokuwa na uchungu wowote na nchi hii ,Kiko wapi Sasa? Kwenye umeme nako mambo ovyo ovyo miaka 2 imeisha wameshindwa kupeleka umeme kwenye vijiji elfu 2 tu!
TTCL inamfia Nape Nnauye mikononi mwake yeye kazi ni kushinda Airtel, Voda sijui Tigo kasahau kuwa TTCL ni moja ya idara yake ambayo imeachwa na JPM ikiwa na bidhaa za simu, simu cards, bandles na wateja leo CAG anasema inakufa yeye kajigeuza alikuwa Mpelelezi wa kuchunguza uvamizi sijui wa clouds angeenda mahakamani kutoa ushahidi kwa position ipi.
Kama ulikuwa unajiamini hadi ukamgomea mwajiri wako ,iweje tena ukaja kuonekana ukigaagaa Ikulu kuomba msamaha?