Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi kufia au kuliua??Rais Samia uliambiwa na kuonywa kuhusu kurudisha hawa majizi wasiokuwa na uchungu wowote na nchi hii ,Kiko wapi Sasa ? Kwenye umeme nako mambo hovyohovyo miaka 2 imeisha wameshindwa kupeleka umeme kwenye vijiji elfu 2 tu!
TTCL inamfia Nape Nauye mikononi make yeye kazi ni kushinda airtel,voda sijui tigo kaasahau kuwa TTCL ni moja ya idara yake ambayo imeachwa na JPM ikiwa na bidhaa za simu,simu cards,bandles na wateja leo CAG anasema inakufa yeye kajigeuza alikuwa Mpelelezi wa kuchunguza uvamizi sijui wa clouds angeenda mahakamani kutoa ushahidi kwa position ipi.
Kama ulikuwa unajiamini hadi ukamgomea mwajiri wako ,iweje tena ukaja kuonekana ukigaagaa Ikulu kuomba msamaha?
Alafu likawa linatoa gawio?Shirika lilikufa miaka mingi sana hili. Acha uchochezi mleta mada.
TTCL inaweza kabisa kufufuka
Ilianza hadi kutoa gawio
Sure, sema cartel za mitandao ya simu ni kubwa, ukiifanya TTC ifufuke hawa mafisadi wanaweza pia kukuua, so the move inatakiwa iwe very careful na kujitoa muhanga, ndiyo maana hata rais anaogopa hata akina Nape. Ila kutegemea private sector kwenye sector ya mawasiliano ni kosa kubwa sana.Inaweza kufufuka kama serikali ikiamua , kisha kuwekeza fedha...
Kimiundombinu mahali walipo TTCL si pabaya sana...
Kwa Nape amezuiwa na nani kuamua?Inaweza kufufuka kama serikali ikiamua , kisha kuwekeza fedha...
Kimiundombinu mahali walipo TTCL si pabaya sana...
Like father like son 😂🤩🤩🤩
Kuna wakati nusura limfie Prof Mwandosya!
Rais Samia uliambiwa na kuonywa kuhusu kurudisha hawa majizi wasiokuwa na uchungu wowote na nchi hii ,Kiko wapi Sasa ? Kwenye umeme nako mambo hovyohovyo miaka 2 imeisha wameshindwa kupeleka umeme kwenye vijiji elfu 2 tu!
TTCL inamfia Nape Nauye mikononi make yeye kazi ni kushinda airtel,voda sijui tigo kaasahau kuwa TTCL ni moja ya idara yake ambayo imeachwa na JPM ikiwa na bidhaa za simu,simu cards,bandles na wateja leo CAG anasema inakufa yeye kajigeuza alikuwa Mpelelezi wa kuchunguza uvamizi sijui wa clouds angeenda mahakamani kutoa ushahidi kwa position ipi.
Kama ulikuwa unajiamini hadi ukamgomea mwajiri wako ,iweje tena ukaja kuonekana ukigaagaa Ikulu kuomba msamaha?
Mimi nakumbuka alienda kuomba msamaha kwa ajili ya zile simu walizo rekodiwa!! Sidhani kama ilikua inamuhusua bashite.Rais Samia uliambiwa na kuonywa kuhusu kurudisha hawa majizi wasiokuwa na uchungu wowote na nchi hii ,Kiko wapi Sasa ? Kwenye umeme nako mambo hovyohovyo miaka 2 imeisha wameshindwa kupeleka umeme kwenye vijiji elfu 2 tu!
TTCL inamfia Nape Nauye mikononi make yeye kazi ni kushinda airtel,voda sijui tigo kaasahau kuwa TTCL ni moja ya idara yake ambayo imeachwa na JPM ikiwa na bidhaa za simu,simu cards,bandles na wateja leo CAG anasema inakufa yeye kajigeuza alikuwa Mpelelezi wa kuchunguza uvamizi sijui wa clouds angeenda mahakamani kutoa ushahidi kwa position ipi.
Kama ulikuwa unajiamini hadi ukamgomea mwajiri wako ,iweje tena ukaja kuonekana ukigaagaa Ikulu kuomba msamaha?
Hata hiyo angekomaa tuMimi nakumbuka alienda kuomba msamaha kwa ajili ya zile simu walizo rekodiwa!! Sidhani kama ilikua inamuhusua bashite.
Mzee alijua sana kucheza maigizoIlikua inatoa gawio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu kuna saa unaangalia kosa! Issue ya bashite hakuwa na makosa. Alikua anatimiza wajibu wake kama waziri!Hata hiyo angekomaa tu
Kwani yeye ndiye alimteua bashite ?Mkuu kuna saa unaangalia kosa! Issue ya bashite hakuwa na makosa. Alikua anatimiza wajibu wake kama waziri!
Ile Issue ya simu alikua na makosa na ndio maana akaenda kuomba radhi kibinadamu.
Mkuu kuna saa unaangalia kosa! Issue ya bashite hakuwa na makosa. Alikua anatimiza wajibu wake kama waziri!
Ile Issue ya simu alikua na makosa na ndio maana akaenda kuomba radhi kibinadamu.
Subiri kidogo Tanesco itafia mikononi mwa mtoto waYusuph MakambaRais Samia uliambiwa na kuonywa kuhusu kurudisha hawa majizi wasiokuwa na uchungu wowote na nchi hii ,Kiko wapi Sasa? Kwenye umeme nako mambo ovyo ovyo miaka 2 imeisha wameshindwa kupeleka umeme kwenye vijiji elfu 2 tu!
TTCL inamfia Nape Nnauye mikononi mwake yeye kazi ni kushinda Airtel, Voda sijui Tigo kasahau kuwa TTCL ni moja ya idara yake ambayo imeachwa na JPM ikiwa na bidhaa za simu, simu cards, bandles na wateja leo CAG anasema inakufa yeye kajigeuza alikuwa Mpelelezi wa kuchunguza uvamizi sijui wa clouds angeenda mahakamani kutoa ushahidi kwa position ipi.
Kama ulikuwa unajiamini hadi ukamgomea mwajiri wako ,iweje tena ukaja kuonekana ukigaagaa Ikulu kuomba msamaha?
Miradi yote haiendi kabisaSubiri kidogo Tanesco itafia mikononi mwa mtoto waYusuph Makamba
Watanzania wote uwezo wetu tunafanana! Akiweza huyu kitu na mwingine ataweza, na akishindwa kitu huyu na mwingine vile vile naye atashindwa.Rais Samia uliambiwa na kuonywa kuhusu kurudisha hawa majizi wasiokuwa na uchungu wowote na nchi hii ,Kiko wapi Sasa? Kwenye umeme nako mambo ovyo ovyo miaka 2 imeisha wameshindwa kupeleka umeme kwenye vijiji elfu 2 tu!