Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Hili shirika mkapa angeweka waarabu wa dubai, wangelie desha vyema sanaExactly, Aliyejaribu kuifufua jitihada zake zikasiha alipoishia.
Mtaani zimebaki nguzo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili shirika mkapa angeweka waarabu wa dubai, wangelie desha vyema sanaExactly, Aliyejaribu kuifufua jitihada zake zikasiha alipoishia.
Mtaani zimebaki nguzo
Serikali haitakiwi ifanye biashara, kama ikilazimu, basi tufuate mfumo wa china,, wezi wapigwe risasiSio Shirika la kwanza kufia mikononi mwa CCM.
Rekebisha Heading isomeke Wanaccm wameua Mashirika mengi.
Huu ni muendelezo tu wa mauaji ya kimbari ya Mashirika ya Umma.
Sahihi Serikali isifanye Buashara.Serikali haitakiwi ifanye biashara, kama ikilazimu, basi tufuate mfumo wa china,, wezi wapigwe risasi
Muarabu mbali wakampe kagame sasa hivi km halijanyanyukaSerikali haitakiwi ifanye biashara, kama ikilazimu, basi tufuate mfumo wa china,, wezi wapigwe risasi
Ufanisi ungekuwa wa hali ya juu.. hii kwetu HaiwezekaniSerikali haitakiwi ifanye biashara, kama ikilazimu, basi tufuate mfumo wa china,, wezi wapigwe risasi
Punguza ujuaji. Shirika na kampuni ni yaleyele. TTCL (TANZANIA TELECOMMUNICATIONS COMPANY LIMITED)... SHIRIKA LA UMEME TANESCO LKN INAITWA TANESCO ENERGY COMPANY. So ni ABDALLAH kumuita Dullah.. unaweza ita TTCL shirika pia kampuni mdogo anguSio kampuni, ni SHIRIKA
Wewe kwenye phone book yako una nqmba ngapi za watu wanaotumia line ya TTCL? Ulijingishwa vibaya sana nawe ukakubali kujingishwa na magufuli. Acha nongwaRais Samia uliambiwa na kuonywa kuhusu kurudisha hawa majizi wasiokuwa na uchungu wowote na nchi hii ,Kiko wapi Sasa? Kwenye umeme nako mambo ovyo ovyo miaka 2 imeisha wameshindwa kupeleka umeme kwenye vijiji elfu 2 tu!
TTCL inamfia Nape Nnauye mikononi mwake yeye kazi ni kushinda Airtel, Voda sijui Tigo kasahau kuwa TTCL ni moja ya idara yake ambayo imeachwa na JPM ikiwa na bidhaa za simu, simu cards, bandles na wateja leo CAG anasema inakufa yeye kajigeuza alikuwa Mpelelezi wa kuchunguza uvamizi sijui wa clouds angeenda mahakamani kutoa ushahidi kwa position ipi.
Kama ulikuwa unajiamini hadi ukamgomea mwajiri wako ,iweje tena ukaja kuonekana ukigaagaa Ikulu kuomba msamaha?