TTCL ni shirika la kwanza kufia mikononi mwa Waziri Nape Nnauye

Rais Samia uliambiwa na kuonywa kuhusu kurudisha hawa majizi wasiokuwa na uchungu wowote na nchi hii ,Kiko wapi Sasa? Kwenye umeme nako mambo ovyo ovyo miaka 2 imeisha wameshindwa kupeleka umeme kwenye vijiji elfu 2 tu!

TTCL inamfia Nape Nnauye mikononi mwake yeye kazi ni kushinda Airtel, Voda sijui Tigo kasahau kuwa TTCL ni moja ya idara yake ambayo imeachwa na JPM ikiwa na bidhaa za simu, simu cards, bandles na wateja leo CAG anasema inakufa yeye kajigeuza alikuwa Mpelelezi wa kuchunguza uvamizi sijui wa clouds angeenda mahakamani kutoa ushahidi kwa position ipi.

Kama ulikuwa unajiamini hadi ukamgomea mwajiri wako ,iweje tena ukaja kuonekana ukigaagaa Ikulu kuomba msamaha?
Naomba mmisadie kazi kubwa ya nape nini .nikip Samia alikiona kwa huyo mtu mapaka akampa uwazir naombeni majibu tafadhali
 
Hii nchi inakuwaje na mawaziri sampuli ya nape na makamba na bado tunategemea kupata maendeleo.

Tusahau.
Itakuwa mama amepewa hirizi Na hawajamaa .sasa mtu kama nape anapotential gani mpaka saamia akamwekea pale
 
TTCL inajiendesha yenyewe bila hata sent moja a ruzuku ya serikali. Unasemaje imekufa. TTCL ni giant alichosema Rais ni biashara ya simu za mobile. Watu wanadhani mawasiliano ni simu ya mkononi tu. Kuna element nyingi za mawasliano hasakupitia internet ambako TTCL ni kinara
 
Sasa unatoa maoni gani mkuu ili tupate muelekeo
Maana bwana Nape yeye analambatu midomo hajaelewa bado
 
Wapigaji wapo kazini. ..hakuna jipya hapa. ...nchi za wenzetu kampuni km ttcl ndio inayoongoza kwa huduma bora...hao mitandao yote inategemea infrastructure ya TTCL 95% na hasa mikoani. ..sasa iweje lisiongoze kwakutoa huduma?....lazima kunamisheni zakupiga
 
Ni wizi mtupu
 
Pole sana mkuu , nilikuwa moja ya tawi la TTCL upande wa technical (Field ).

Aiseee hata vifaa ni vya kuunga unga upande wa maintenance Uongozi ovyo kazi kuzunguka kwenye gari tu Hiyo ofisi yenyewe haipo well organized kwa kweli niliumia sana .
Yani inasikitisha mno watu wanalipwa mishahara kazi hawafanyi halafu wanaona ni sawa tu ofisi imegeuzwa kama kijiwe cha kupiga soga hakuna anayejali, fikiria nikamwambia huyo dada kuna ofisi nimeunga fiber ya Zuku nimelipia leo kesho yake nikafungiwa huduma eti nae ananiambia nenda kafungiwe Zuku nikamwambia unafikiri huduma yao ingekuwa inafika makazi yangu ningehangaika na nyie? Kweli akili za uvivu na uzembe zimesheheni serikalini na idara zake na hakuna anayejali hata inasikitisha na kuuma kwakweli. Waziri husika hana habari juu ya hili.
 
Wapigaji wapo kazini. ..hakuna jipya hapa. ...nchi za wenzetu kampuni km ttcl ndio inayoongoza kwa huduma bora...hao mitandao yote inategemea infrastructure ya TTCL 95% na hasa mikoani. ..sasa iweje lisiongoze kwakutoa huduma?....lazima kunamisheni zakupiga
Hii inaashiria wazanziba ni wavivu kupindukia samia hawez kuumiza kichwa hata kidogo kila kitu private sector hatakam kuna changamoto anazoweza kuzifanyia kazi ..kwa nini tusianza na ikulu yenyewe iwe private sector maana nayo naona imeshindwa kuendesha nchi
 
TTCL inajiendesha yenyewe bila hata sent moja a ruzuku ya serikali. Unasemaje imekufa. TTCL ni giant alichosema Rais ni biashara ya simu za mobile. Watu wanadhani mawasiliano ni simu ya mkononi tu. Kuna element nyingi za mawasliano hasakupitia internet ambako TTCL ni kinara
Kama ndivyo waboreshe huduma zao maradufu maana haiwezekani mtu unataka huduma halafu uambiwe eti baada ya miezi miwili halafu anaekwambia hivyo anaona sawa tu tena bila aibu au anakwambia ukitaka huduma ya haraka lipit 1.6m kweli? Hili shirika liko hoi bin taaban kutokana na uvivu wa wafanyakazi na viongozi wao mapka Waziri yupo yupo tu anasogoa mambo yasiyo na tija kwa chi wala wizara yake.
 
Nakumbuka ile Kauli mbiu Yao 'rudi nyumbani kumenoga' bado zao zilikuwa sawa na bure kwa ili sasa magufuli naanza kumuherewa alikuw mzarendo kweli
 
Kama ndivyo waboreshe huduma zao maradufu maana haiwezekani mtu unataka huduma halafu uambiwe eti baada ya miezi miwili halafu anaekwambia hivyo anaona sawa tu tena bila aibu au anakwambia ukitaka huduma ya haraka lipit 1.6m kweli? Hili shirika liko hoi bin taaban kutokana na uvivu wa wafanyakazi na viongozi wao mapka Waziri yupo yupo tu anasogoa mambo yasiyo na tija kwa chi wala wizara yake.
Kwa nje matatizo ya ttcl ni
1. Bad/no customer care. .hapa ni jipu kubwa mno tena sana. ..unaweza omba huduma mfano ya mtandao lkn kujibiwa tu mtihani au km unatumia huduma zao. ..siku ukipata changamoto ndio siku utahama.
2.kufanya kazi Kwa mazoea. ..technologia imekua sn...mfano wao bado wanaamini E1 ninzuri kuliko radio or fiber
3.creativity/innovation. ..wangeweza hata run Internet kwakutumia nyaya za tanesco. ..mfano ukiletewa umeme nyumbani unaletewa 3.phases i)power ii)voice. .simu iii)data...Internet
Sasa unaomba from tanesco/ttcl waweze hizo huduma 2 za ziada mwisho wa mwezi unalipia bili or inawezakua prepaid.
Kwa ndani nadhani hua mpk mtu awemkali ndio mishe ziende
Ttcl ilitakiwa hawa Vodafone, tigo,airtel,halotel wawe wanafuata nyuma yao lkn kwakua watu wanawaza madili nothing gonna work.
 
Yani inasikitisha sana tunahitaji kiongozi mkali kupitiliza sio wa kumbembeleza uzembe ni wa kiwango cha hali juu na kinagharimu mashirika yetu ya umma.
 
Rais Samia uliambiwa na kuonywa kuhusu kurudisha hawa majizi wasiokuwa na uchungu wowote na nchi hii ,Kiko wapi Sasa? Kwenye umeme nako mambo ovyo ovyo miaka 2 imeisha wameshindwa kupeleka umeme kwenye vijiji elfu 2 tu!

TTCL inamfia Nape Nnauye mikononi mwake yeye kazi ni kushinda Airtel, Voda sijui Tigo kasahau kuwa TTCL ni moja ya idara yake ambayo imeachwa na JPM ikiwa na bidhaa za simu, simu cards, bandles na wateja leo CAG anasema inakufa yeye kajigeuza alikuwa Mpelelezi wa kuchunguza uvamizi sijui wa clouds angeenda mahakamani kutoa ushahidi kwa position ipi.

Kama ulikuwa unajiamini hadi ukamgomea mwajiri wako ,iweje tena ukaja kuonekana ukigaagaa Ikulu kuomba msamaha?
Kwani uongo,ulitaka uone kisusio?
 
nape,januari ni majizi.samia haya majitu hayabebeki wacha kuogopa lawama piga chini yanakufanya unuke kinyesi
 
Back
Top Bottom