Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Sio kampuni, ni SHIRIKALI KAMPUNI LISHAJIFIA KITAMBO HUKO. HAMNA KAMPUNI MULE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kampuni, ni SHIRIKALI KAMPUNI LISHAJIFIA KITAMBO HUKO. HAMNA KAMPUNI MULE
Yule bwana sijui alikuaje yani! Unashindwa kuhesabu mabaya yake, vile vile unashindwa kuhesabu mazuri yake! Alikua mtu na robo tatu[emoji16][emoji16][emoji41] ( sio mtu na nusu yule [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960] )Mzee alijua sana kucheza maigizo
Nape sio bungeKwa Nape amezuiwa na nani kuamua?
Ujinga mtupu.Rais Samia uliambiwa na kuonywa kuhusu kurudisha hawa majizi wasiokuwa na uchungu wowote na nchi hii..
AsepeRais Samia uliambiwa na kuonywa kuhusu kurudisha hawa majizi wasiokuwa na uchungu wowote na nchi hii..
Hahahaha
Sio rahisi hivyo .....labda kisiasa sawa.......TTCL inaweza kabisa kufufuka
Pole sana mkuu , nilikuwa moja ya tawi la TTCL upande wa technical (Field ).Yaaan......inasikitisha kwa kweli leo nimeenda pale Kijitonyama nikitaka huduma ya
Nimecheka Sana hili Taifa Lina vituko sanaKwa hiyo twende wapi wakati mlisema nyumbani kumenoga?
Ilikuwa inatoa gawioKwani TTCL ilikuwa hai lini baada ya watu kuacha simu za mezani?
Chawa haooRushwa 80 milion
Unanikumbusha story ya utotoni ya mtumbwi uliopandwa na ng'ombe, nguruwe mbuzi ile kupanda Panya mtumbwi ukazama ..... lawama zote akabeba panya anyway hili shirika kwa kuwa ni la serikali haliwezi fika level za mitandao mingineRais Samia uliambiwa na kuonywa kuhusu kurudisha hawa majizi wasiokuwa na uchungu wowote na nchi hii ,Kiko wapi Sasa? Kwenye umeme nako mambo ovyo ovyo miaka 2 imeisha wameshindwa kupeleka umeme kwenye vijiji elfu 2 tu!
TTCL inamfia Nape Nnauye mikononi mwake yeye kazi ni kushinda Airtel, Voda sijui Tigo kasahau kuwa TTCL ni moja ya idara yake ambayo imeachwa na JPM ikiwa na bidhaa za simu, simu cards, bandles na wateja leo CAG anasema inakufa yeye kajigeuza alikuwa Mpelelezi wa kuchunguza uvamizi sijui wa clouds angeenda mahakamani kutoa ushahidi kwa position ipi.
Kama ulikuwa unajiamini hadi ukamgomea mwajiri wako ,iweje tena ukaja kuonekana ukigaagaa Ikulu kuomba msamaha?