TTCL ni shirika la kwanza kufia mikononi mwa Waziri Nape Nnauye

Sio Shirika la kwanza kufia mikononi mwa CCM.

Rekebisha Heading isomeke Wanaccm wameua Mashirika mengi.

Huu ni muendelezo tu wa mauaji ya kimbari ya Mashirika ya Umma.
Serikali haitakiwi ifanye biashara, kama ikilazimu, basi tufuate mfumo wa china,, wezi wapigwe risasi
 
Serikali haitakiwi ifanye biashara, kama ikilazimu, basi tufuate mfumo wa china,, wezi wapigwe risasi
Muarabu mbali wakampe kagame sasa hivi km halijanyanyuka
Or wa outsource miundombinu halafu wao wabakie kuangalia tu...wampe mwekezaji 51/49 uone km halitanyanyuka
 
Wewe kwenye phone book yako una nqmba ngapi za watu wanaotumia line ya TTCL? Ulijingishwa vibaya sana nawe ukakubali kujingishwa na magufuli. Acha nongwa
Kamfufue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…