mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,155
- 2,704
Sisi kitu tunaweza ni kupambana na Upinzani tu na wapinzani.
Tunakwama wapi ?
TTCL wana juhudi kutuma Control number lakini Mfumo haufanyi kazi
DAWASA wanafungua maji siku 1 wanatuma bills wanakata Maji
TANESCO Mvua ikinyesha wanakata umeme kua inaharibu miundo mbinu maji yaki kauka
wanashindwa kuzalisha umeme
SISI TUTAWEZA KUFANYA KITU GANI SASA WAKUU ?