Tuachane na matokeo, Camera za CAF Champions League mbona ni mbovu kiasi hiki?

Tuachane na matokeo, Camera za CAF Champions League mbona ni mbovu kiasi hiki?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Kwa mlioangalia mechi za Simba na Yanga kwenye Champions league mliona jinsi picha za mchezo ule zilivyokuwa za hovyo, mara nyingi mpira ulikuwa hauonekani.

Yaani hata Camera za Azam kwenye mechi za kwa Mkapa zinakuwa na quality kuliko za CAF.

Utafikiri wanatumia camera za simu za Tecno
 
Siyo za CAF bhana
Nani alikuambia ni Camera za CAF? Uliza uelekezwe
Wao ndio wanaotoa hizo rights za matangazo, so ubora wa matangazo wanaweza kuamua uwe namna gani kwa kuamua wanayempa kutangaza anatakiwa kuwa na vigezo gani.

Hata kwenye kombe la Dunia, viwanja na camera sio vya FIFA ila wanahakikisha kuna quality kwenye uwanja na matangazo.
 
Sijui tatizo ni nani, but mashindano CHAN yaliyoisha juzi Kati Algeria camera nyingi na picha ilikuwa na quality nzuri.
Mimi juzi nimeshindwa kuangalia ile mechi ya Simba, quality mbovu utafikiri ndondo cup bwana
 
Acha tu
 
Camera zilizotumika katika mechi ya simba ni NX 100 ambazo kwa hapa bongo zilikuwa zinatumiwa kuonesha mechi misimu ya zamani huko 2009 quality yake sio HD kwahiyo kiufupi ni kwamba waliopewa tenda ya kuonesha mechi ya Simba walikuwa na camera zenye quality mbovu. Tuwapongeze Azam na camera zao za HD media chache sana zinamiliki hizi camera.
View attachment 2515753View attachment 2515754
 
Camera zilizotumika katika mechi ya simba ni NX 100 ambazo kwa hapa bongo zilikua zinatumiwa kuonesha mechi misimu ya zamani huko 2009 quality yake sio HD kwahiyo kiufupi ni kwamba waliopewa tenda ya kuonesha mechi ya Simba walikua na camera zenye quality mbovu. Tuwapongeze Azam na camera zao za HD media chache sana zinamiliki hizi camera.
View attachment 2515753View attachment 2515754
Hata mechi ya Yanga pia zilikuwa mbovu
 
Sidhani kama shida ni camera. Kwanza mimi sikuona hilo tatizo kihivyo hadi kusema limenikera. Pili macho yetu siku hizi yamezoeshwa kuangalia mipira ya usiku, yaani hadi mechi za mikoani ambako viwanja havina mwanga wa kutosha siku hizi wanataka kucheza usiku.

Usiku unaweza kucontrol vizuri mwanga hivyo ukapata picha zenye standard nzuri, jua lina changamoto zake. Ukiangalia jezi za Simba ni nyeupe tupu na jua linawaka, hata nembo ya Visit Tanzania sikuiona.
 
Kwa mlioangalia mechi za Simba na Yanga kwenye Champions league mliona jinsi picha za mchezo ule zilivyokuwa za hovyo, mara nyingi mpira ulikuwa hauonekani.

Yaani hata Camera za Azam kwenye mechi za kwa Mkapa zinakuwa na quality kuliko za CAF.

Utafikiri wanatumia camera za simu za Tecno
Mkuu rekebisha hapo kwenye Yanga na neno champions league. Yanga haiko champions league ni Simba peke yake. Unatuchanganya mkuu kwa sababu kuna timu unaipa credit zisizostahili.
 
Kwa mlioangalia mechi za Simba na Yanga kwenye Champions league mliona jinsi picha za mchezo ule zilivyokuwa za hovyo, mara nyingi mpira ulikuwa hauonekani.

Yaani hata Camera za Azam kwenye mechi za kwa Mkapa zinakuwa na quality kuliko za CAF.

Utafikiri wanatumia camera za simu za Tecno
Kuna kipindi nikawa nalaumu mbona wachezaji wa Simba hawakabi wakati wako karibu kumbe ni kivuli tu wako mbaaali.
 
Back
Top Bottom