Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #21
Mbona mechi kibao za Ligi zinachezwa mchana na muonekano hauwi vileSidhani kama shida ni camera. Kwanza mimi sikuona hilo tatizo kihivyo hadi kusema limenikera. Pili macho yetu siku hizi yamezoeshwa kuangalia mipira ya usiku, yaani hadi mechi za mikoani ambako viwanja havina mwanga wa kutosha siku hizi wanataka kucheza usiku. Usiku unaweza kucontrol vizuri mwanga hivyo ukapata picha zenye standard nzuri, jua lina changamoto zake. Ukiangalia jezi za Simba ni nyeupe tupu na jua linawaka, hata nembo ya Visit Tanzania sikuiona.
Kingine mpira wa jana wa Yanga ulichezwa saa 11 jioni saaa za Tunisia na kulikuwa hakuna jua kiwanjani lakini picha zilikuwa mbovu hadi kuna saa mpira wa kuchezea hauonekani