Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wanazidiwa hata na Azam?Africa ni Africa tu
Siyo za CAF bhana
Wao ndio wanaotoa hizo rights za matangazo, so ubora wa matangazo wanaweza kuamua uwe namna gani kwa kuamua wanayempa kutangaza anatakiwa kuwa na vigezo gani.Nani alikuambia ni Camera za CAF? Uliza uelekezwe
Acha tuSijui tatizo ni nani, but mashindano CHAN yaliyoisha juzi Kati Algeria camera nyingi na picha ilikuwa na quality nzuri.
Mimi juzi nimeshindwa kuangalia ile mechi ya Simba, quality mbovu utafikiri ndondo cup bwana
Hata mechi ya Yanga pia zilikuwa mbovuCamera zilizotumika katika mechi ya simba ni NX 100 ambazo kwa hapa bongo zilikua zinatumiwa kuonesha mechi misimu ya zamani huko 2009 quality yake sio HD kwahiyo kiufupi ni kwamba waliopewa tenda ya kuonesha mechi ya Simba walikua na camera zenye quality mbovu. Tuwapongeze Azam na camera zao za HD media chache sana zinamiliki hizi camera.
View attachment 2515753View attachment 2515754
Mkuu rekebisha hapo kwenye Yanga na neno champions league. Yanga haiko champions league ni Simba peke yake. Unatuchanganya mkuu kwa sababu kuna timu unaipa credit zisizostahili.Kwa mlioangalia mechi za Simba na Yanga kwenye Champions league mliona jinsi picha za mchezo ule zilivyokuwa za hovyo, mara nyingi mpira ulikuwa hauonekani.
Yaani hata Camera za Azam kwenye mechi za kwa Mkapa zinakuwa na quality kuliko za CAF.
Utafikiri wanatumia camera za simu za Tecno
Kuna kipindi nikawa nalaumu mbona wachezaji wa Simba hawakabi wakati wako karibu kumbe ni kivuli tu wako mbaaali.Kwa mlioangalia mechi za Simba na Yanga kwenye Champions league mliona jinsi picha za mchezo ule zilivyokuwa za hovyo, mara nyingi mpira ulikuwa hauonekani.
Yaani hata Camera za Azam kwenye mechi za kwa Mkapa zinakuwa na quality kuliko za CAF.
Utafikiri wanatumia camera za simu za Tecno
Mimi mechi ya jana nilikuwa sioni mpiraKuna kipindi nikawa nalaumu mbona wachezaji wa Simba hawakabi wakati wako karibu kumbe ni kivuli tu wako mbaaali.