Tuache Conspiracies na Speculations: Viongozi wengi ni Wagonjwa!

Kwa mfano nchi gani? Must be Africa , hata nchi za kiarabu wanaweka magonjwa ya viongozi wakuu wazi. Kitu pekee wanachowweza kuficha ni AIDS
 
Unajua mtoa uzi atakuwa katumwa huyu si bure
Do you know Faustine alikuwa anaumwa long tu , na alikuwa akienda India mara kwa mara , ndio maana tunasema ni muhimu san katiba mpya ije iweke kipengele, na kwenye profile za hata wabunge tuweke Categiry ya Afya, tunaweza ku exclude hiyo AIDS maana hii imekula wengi jand STI maana inaweza leta Stigmatism but ijulike hali Afya ya hawa watu

Rais Makamu Spika na wqziri Mkuu iwe ni mandatory

Speculation ni nyingi sana … kiongozi anaenda India anarudi Maiti tunaanza kuzusha kquliwa karogwa and blah blah , kumbe mtu ana Cirrhosis ya muda tu , mwingine ana kidney failure ya muda tu , public inaona mtu mzima
 
Wagonjwa wanapambana kuua wananchi! Sijui ili iweje!
Ni kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.

Dr MNM
Canada
 
Benard membe na faustine ndugulile nao waliumwa nini
Vifo vyao vilikuwa ghafla
Hatujadili magonjwa ya watu and it is not ethical , point ya huu uzi sio kujadili nani kafa na nini au nani anaumwa nini; point ni umuhimu wa public kujua viongozi wao Wa kuu wanasumbuliwa na long term disease za aina gani ili kuondoa Sintofaham. Kwa mfano , Wengi walijua JPM had pacemaker baada ya kufa, sasa huko sio sawa ni kukosea walipq kodi heshima… matokeo yake watu wanasema ametangulizwa, wamemuua and blah blah ….kama raia hawapo informed officially , je wazungumze nini

Hata Mwalimu inazushwa kama aliuliwa, hivo hivo Mkapa! , all these are conspiracy theories na ni comfort ya Watanzania maana they do not know what else to say

It’s bad mtu anatumia billion of kodi zenu na hamjui anything about him
 
🙋✍️🎯👍👏🤝🙏💐🍻🎁🎖️🏆🛡️
 
Mkuu cha msingi uelewe msingi wa andiko lake kuwa umma una haki ya kujua hali ya afya ya kiongozi wa umma anayetumia fedha za umma kwenye matibabu yake.
 
Mkuu mbona umepanick sana ilhali nina uhakika mtoa hoja hajakutaja mahali popote kwenye andiko lake.

Ndugu, unastahili kupimwa akili, maana hii ni dalili tosha kuwa una changamoto ya akili.
 
I agree with you 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…