Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Punguza hasira. Kujifunza hakuishi, usikariri maishaHiyo takataka unawezaje kuiita mkuu? Nawe ni walewale
PC= Pulmonary CarcinomaMkuu unaandika kwa lugha ya kitaalam sana kiasi mtu ambaye si tabibu au mtu wa afya anaweza asipelekwe ni maradhi gani umetaja mfano PC kwa mwingi ,pc ni nini watoto wachuo wanajua ni Personal 💻, ALL NI ugonjwa gani?, AF? , DN? Hizi zinapoteza ladha ya bandiko kwa sababu zimebeba content kubwa
Mkuu je angeiita Peponi je?Huyo mbwa ni mpumbavu kuliko unavyofikiri, mtu anaita nchi yake "mavumbini"?
Unamaanisha Personal Computer au?alikua na PC
Ni sawa shida yako nin?i,wewe sifia CCM ndio unaloliwezaUlisoma naye? Ameita nchi yako mavumbini, ndiyo matokeo ya kisomo chake, ndicho walichomfundisha? Hiyo ni zaidi ya takataka.
Unge-edit pale juu mkuu kwa wema tu msifichefiche haya mambo na useme kabisa Ndugai India alienda kutibiwa nini na Vito Corleone je alipona kabisa Tezi Dume au bado anaishi nayo?PC= Pulmonary Carcinoma
AF ni Atrial Fibrillation
DN ni diabetic Neuropathy
Kwa JPM si wambea wanadai mwamba black slim with gifted hands alibadilisha betri moja upande wa + kuangalia -Ni kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.
Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na CVI ugonjwa ambao sio hatari but progressive yake can lead to sudden death.
My Friend Joe , amekuwa diagnosed na stage 4 prostate cancer - yote yapo kwa public. Leo biden au Trump wakidondoka sidhan kama kutakuwa na conspiracy au speculation
Hapo Mavumbini bado sheria na viongozi wapo kwenye Ujima. Kuna viongozi wengi sna wanatembea but they are sick na wana chronic disease but wanafanya siri na matokeo yake vifo vyao vinaletaga sana speculation ambazo sidhan hata kama zinaumuhimu. Hili eneo linapaswa kufanyiwa kazi kwenye Rasimu ya Katiba, hawa jamaa wanakula Public fund sana….. magonjwa yao pia should be public concern hasa kwa Rais , Makamu, Spika na Waziri Mkuu
Kwa mfano, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa na PC for very long time na public was not aware na hili mpaka alipokufa, but that guy alikuwa ni RAIS wa nchi! Nini Tafsiri yake ?
Mwalimu alikuwa na Acute Lymphoblastic ( ALL ) for long time and public was not aware till death, tukazushiwa kuwa ametangulizwa…. but mwalimu was sick kwa muda tu
Rais Mkapa alikuwa na CAD kwa muda tu , tukazushiwa kuna mwamba muhuni mmoja ivo na genge lake ndio mtoa roho
JPM alikuwa na AF with slow Ventricular response for very long time in his Life, public was not officially informed ……. AF iliyosababisha hadi kifo cha JPM……matapeli wakajizolea umaarufu na kujiona wa mjini…. But JPM was sick and had carried that kwa maisha yake yote, usiri ukaleta conspiracy na speculation inayodumu
Job alikuwa na DN kwa muda tu iliyopelekea hadi kuwa na complication kwenye Cardiovascular and that must have been the reason for his sudden death.
JK had BPH but aliiwahi and atleast the info was public na tulienda kumuona pale JHH, USA. He is fine today na public was Officially informed kuwa the president has Benign Prostatic Hyperplasia
Leo hii the public is not aware Mpango ana tatizo gani chronic la kiafya ?
Samia anatatizo gani Chronic la Kiafya ?
Majaliwa anatatizo gani chronic la kiafya ?
Tulia anatatizo gani la kiafya !
Usiniambie hawana shida ya kiafya, we know better na Kwa ambao mmeshafanya kazi za kudeal na wagonjwa , ukimuangalia tu mtu usoni na ngozi yake unajua some how anatatizo la kiafya. And a part from that mtu ukishavuka 60 tu organ function zina decline, cell regeneration zina pungua , Chronic Inflamation zinamuandama, combination of biological aging and so forth!
Any one of those, akidondoka ghafla… tutapata speculation nyingi na confusion kama ilivyo kwa Job, but hawa watu ni wagonjwa. Katiba mpya italazimu kuangalia hili eneo…..
So Watizedi, tambueni hivo huenda mkapunguza speculation na conspiracy , msione watu wanakimbilia hayo madaraka….. they are sick na wanafanya hivo kupata health benefit za bure as well
Dr MNM
Canada
Bado anayo ile ile Tezi dume au ana tatizo lingine?Huo ndiyo ukweli
Kufichaficha
Jk aliweka wazi tatizo lake
Ova
Umeme ukazima au ikapiga shoti?Kwa JPM si wambea wanadai mwamba black slim with gifted hands alibadilisha betri moja upande wa + kuangalia -
Nimishawahi kushauri, ukifika 50 maximum, hakika huna maajabu tena kama ulikuwa 30 years kwenye utumishi au siasa. Ondoka mapema baki na heshima yakoMachawa wanaweza kukusababisha ukasahau madhaifu yako kiafya.
Kuna muda ukifika hata siasa unaacha unawakabidhi kijiti kizazi kingine. Siasa sio chanzo cha mapato
TrueBaadhi ya matatizo yanatokea kwa kupuuzia mambo , unajua nn kama hao viongozi na watumishi wa umma kwa ujumla ..Kulikuwa na taratibu za kufuatilia afyae , elimu zinatolewa ila watu kama hawaelewi ...Mwishoe wanarudia mambo yale yale ; ulaji mbovu , life style mbovu , hakuna mazoezi .
Muda mwingine wanapuuzia hata ile regular check up ya kila mwaka , sijui pesa wanakula au wanafanyaje ...Ukweli ni kwamba watu wanaumwa sana kutokana na mtindo wa maisha .
Baadae wanakuja kusema tulimuonya hakutaka kutusikia wakati faili lake tunaloNimishawahi kushauri, ukifika 50 maximum, hakika huna maajabu tena kama ulikuwa 30 years kwenye utumishi au siasa. Ondoka mapema baki na heshima yako
Ndugai alikuwa anaumwa yupo above 60 , siasa tena za nini….. Spika analipwa had kufa. Yaani itabidi nifanye research hili eneo kuna uhusiano gani wa madaraka na brain addiction
Sidhan kama kweli Job alikuwa anagombània kwa ajili ya hela
atakuwa Nshomile msamehe bure.Duh! Canada imekufanya nchi yako ulimozaliwa uiite "mavumbini" Dunia hii watu wamesoma na wamekuwa maarufu hawajawahi kuzitukana nchi zao bali kuzitumikia. We hiyo elimu ya kukariri haijakusaidia umekuwa mpumbavu zaidi ya ngedere km wacanada wanavyokuita. Ht huo utambulisho hapo chini na ili tujue uko Canada ni egoism isiyo na haja wala faida, kwani unatujua sisi wenzio tuko wapi sahv na tuna elimu zipi. We ni zaidi ya takataka.
Kwa hio sasa hivi ana tatizo gani mboni km akisimama hasimami sawasawa, Vito Corleone ana tatizo gani?Liliondolewa, aliliwahi na hakufanya siri
wengi miaka ni early 60 ila wamechoka sana , matumbo makubwa yaani hawaoni hata hatari yake.True