Tuache Conspiracies na Speculations: Viongozi wengi ni Wagonjwa!

Baba Ndubwi njoo uchangie mada huku
 
Akitakiwa apumzike!arelax
Aachane na mkikimkiki
Ushakuwa spika bado unataka status ya ubunge wa nini

Ova
 
Na wewe una tatizo gani chronic kiafya ili ukidondoka ghafla wanafamilia tusishikane uchawi?
 
Yaani wewe upo USA na umejua wote hao walikuwa wanaumwa nini hadi vifo vyao halafu unalalamika kuwa ugonjwa wao ni Siri? Siri ipi na wakati yote unayajua?
 
Hata mi najua kuwa Kikwete alikatwa p um bu Kwa ajili ya matatibabu ya tezi Dume, mama Samia Sukari na BP ndo inamsumbua japo anacontrol vema etc
 
Ni kweli,
 
Ur right mfano ugonjwa wa JK dawa yake ni kukatwa pumb u, dawa na mionzi
 

Umeme ukazima au ikapiga shoti?
Hamna
wengi miaka ni early 60 ila wamechoka sana , matumbo makubwa yaani hawaoni hata hatari yake.
halafu wengi wana Umeme ! One of the side effect ya dawa za umeme ni kuharibu vital organs but shida yao kuu majitu yanakaa kwenye AC home kwenye gari, lishe mbovu and all that

Tuliwaambia ukiwa kiongozi simamieni misingi, mfano shirika kama TMDA TBS ni shirika lilipaswq kuwa na watu smart snaa. Na liwe full independent bila ya political interference. Haya mashirika ndio yamebeba Uhai wa watanzannia

Sadly kuna vyakula , dawa na takataka nyingi snaa mtaan zinazojaa supermarket na mafamasi na wao piawananunua

Pombe fake everywhere, na wao pia wanakunywa
Kule Moshi Rombo vijana kama mateja yaan miili imelika kwa pomme fake, no future kwa vijana. Pombe fake zinaingilia kule na kuzalishiwa kule . Ila wapuuzi wenye dhamana wanagonga meza tu

Regulatory Authorities zimeoza

Ingiza takataka zako, toa honga kesho bidhaa ipo sokoni na watu wanaifakamia
Mwisho wa siku na wao wanakula
 
Uko sahihi.. kwenye msosi mzee bora uvilime mwenyewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…