Mie kuna jamaa yang police yy namuonavkabisavmshahara hagusi n mwendo wa kupigachela nje ya mshahara na ana nyumba mbili ss ivi na ana miaka minne tu kazinHao unaowataja ni asilimia 2 tuu wanauwezo wa kutotumia mishahara yao, japo nao mishahara yao inaishia kulipa madeni
Njoo tukae palee nin ticket ya VVIPObservers tunakaa wapi tuone mtanange??
Moja ya highest forms za maisha ni leaving a mark in the world. You can't do this while employed. In fact ukiwa employed inasaidia wengine ktk kuacha mark. Unakuwa foot soldier.
.
kifupi tu asilimia kubwa wanaoajiriwa hawawez kuwa leaders au hata viongozi wa familia kwa kuwa washazoea kuongozwa na kusimamiwa.
Mambo yangu yapi!?Ukiwa huna muda wa kufanya mambo yako we ni mtumwa
1. Kodi za kukandamizwa TRA mara mbili yako
Too general, frame bei gani mshahara bei gani..na pia frame si moja ya investment pia, means unawekeza pakubwa upate kikubwq2. Analipa kodi ya fremu mda mwingine unakuta mtu analipia fremu mshahara wa aliyeajiriwa.
.
3. Analipa ulinzi shirikishi, Halmashauri, service Levy, hela ya takataka, fire extinguisher, hela ya umeme etc. Gharama za taka, maji na umeme analipia pia nyumbani
Atawaachia elimu ndo wasemavyoUtawaachia watoto wako ajira..?
Vipi ukifukuzwa, redundancy..?
Kujiajiri ni kitu kizuri mno
5. Huyu aliejiajiri ana mfanyakazi tena ukute ana mawazo mgando kama yako. Tena wengine wana wafanyakazi zaidi ya mmoja. .
.
What's the point here?Kuna jamaa namfahamu bodaboda kuna siku anaimgiza mpaka elfu 70. Akiingiza hela ndogo ni elfu 30 per day. Pikipiki ya kwake na yuko makini. Mbali na hivyo kajenga Moshi na sasa ana nyumba anajenga Msumi. Hata mimi nimemzidi elimu ila ananihamasisha kujituma kwa bidii. .
. Kuna watu wana magenge wanalaza 900k mzee. Shida kubwa kwa hawa elimu ndogo na wameridhika ila wangekuwa na elimu wangekuwa maboss zako. Acha dharau Dogo. .