Kujiajiri kuna hela wakuu enzi nipo chuo niliwahi kutumia mtaji wa milioni moja kufungua kibanda cha ku burn CD na kuweka movie pamoja na mziki hapo nilokuwa nalipa kodi, umeme na dogo wa kusimamia ofisi na nilikuwa na uhakika wa kulaza 450-500k kama net profit kwa mwez mmoja