Tuache kudanganyana, Ajira zina afadhali zaidi kuliko kujiajiri, watu wengi waliojiajiri ndio wapo kwenye utumwa

Tuache kudanganyana, Ajira zina afadhali zaidi kuliko kujiajiri, watu wengi waliojiajiri ndio wapo kwenye utumwa

Kujiajiri kuna hela wakuu enzi nipo chuo niliwahi kutumia mtaji wa milioni moja kufungua kibanda cha ku burn CD na kuweka movie pamoja na mziki hapo nilokuwa nalipa kodi, umeme na dogo wa kusimamia ofisi na nilikuwa na uhakika wa kulaza 450-500k kama net profit kwa mwez mmoja
 
Nimemaliza chuo mwaka 2019 kada ya afya ule mwaka wa internship nikajitahidi ku save sanaa mpka tunamaliza intern nikichaganya na hela nyingne nilizokuwa nazo toka chuo nina kama 15M nikafungua biashara inanyonipa 100k kama net profit daily hela ninayopata kwa sasa. Nimekuza mtaji mpka sasa nina almost 50M kwenye mzunguko
So kipato changu cha mwezi now ni sawa na mshahara wa super specialist tena anayefanya kazi pale muhimbili na wakati huo kumbuka nina miaka minne tu mtaani imagine miaka kumi ijayo
 
Moja ya highest forms za maisha ni leaving a mark in the world. You can't do this while employed. In fact ukiwa employed inasaidia wengine ktk kuacha mark. Unakuwa foot soldier.
.

So Mwalimu nyerere, ma engeneer kama mfugale madaktari kama Dr. Masawe ambao wote walikua waajiriwa hawajaacha alama yoyote?
 
2. Analipa kodi ya fremu mda mwingine unakuta mtu analipia fremu mshahara wa aliyeajiriwa.

.
Too general, frame bei gani mshahara bei gani..na pia frame si moja ya investment pia, means unawekeza pakubwa upate kikubwq
 
3. Analipa ulinzi shirikishi, Halmashauri, service Levy, hela ya takataka, fire extinguisher, hela ya umeme etc. Gharama za taka, maji na umeme analipia pia nyumbani

Hizi si ndio running cost zenyewe?!

Kwa gharama za nyumbani aliyeajiriwa halipi?
 
5. Huyu aliejiajiri ana mfanyakazi tena ukute ana mawazo mgando kama yako. Tena wengine wana wafanyakazi zaidi ya mmoja. .

.

Aisee, kwa hiyo una mdharau mfanyakazi wako.

Akiondoka akajiajiri nani atakufanyia kazi.

Wakiwa wafanyakazi wengi means shughuli si nyingi pia.
 
Kuna jamaa namfahamu bodaboda kuna siku anaimgiza mpaka elfu 70. Akiingiza hela ndogo ni elfu 30 per day. Pikipiki ya kwake na yuko makini. Mbali na hivyo kajenga Moshi na sasa ana nyumba anajenga Msumi. Hata mimi nimemzidi elimu ila ananihamasisha kujituma kwa bidii. .
What's the point here?

Kwani hakuna wafanyakazi wanaoingiza zaidi ya hii hela?
 
. Kuna watu wana magenge wanalaza 900k mzee. Shida kubwa kwa hawa elimu ndogo na wameridhika ila wangekuwa na elimu wangekuwa maboss zako. Acha dharau Dogo. .

What's the point here?

Kwamba waajiriwa hawapati hii laki 9?

If yes, kama ukiajiriwa unapata laki 9 na ukiuza unapata laki 9 nini point ya kuuza genge?
 
Faida moja ya kuajiriwa serikalini ni kuwa mvivu.
Yani haufukuzwi kazi kisa mvuvi au una underperform.
Likizo unapewa masurufu ya usafiri halafu hausafiri unaenda kununua simu Sumsung Glax S,22 hio offer haipo unapojiajiri.
Unaenda kusooa miaka 3 unalipwa mshahara wakati haufanyi kazi.
Ukiajiajili unawaza bisshara ysko kila muda isije filisika, unawahofia wafanyakszi wako kuwa wanakuibia.
Unasafiri safiri na kulala mbali na familia yako.
 
Kama ujira wako unatosheleza mahitaji yako na akiba unaweka ni heri kuajiriwa tu.

Urasimu uliopo kwenye mamlaka za nchi hii si kitoto huko kwenye kujiajiri pia.

Mara TRA wakadirie vile mara TPHPA wafunge duka la mtu hujakaa sawa TBS wachome bidhaa.
 
Back
Top Bottom