Hamza swakala
JF-Expert Member
- Feb 14, 2022
- 479
- 619
[emoji23][emoji23][emoji23]Hata ualimu nayo ni bora kuliko kujiajiri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hata ualimu nayo ni bora kuliko kujiajiri?
Messi na Ronaldo vipi?Mimi mkinionesha tajiri aliyeajiriwa basi .....
Vipi kina Mwigulu, January na walamba asali wengine mishahara yao haikutani?Au kwa maneno mengine, Mwajiriwa aliyetunza akiba mshahara wake mpaka akawa TAJIRI
Hili lina ukwel kabisaaa..nimeingia kwenye mapambano ya kujiajiri..aisee ni frustrations za kufa mtuuu...ila siachi..i believe this is a real experience of life...Kujiajiri hupelekea kila siku unaumiza kichwa na kupata pressure za ajabu ajabu juu ya biashara yako. Ndo maana wengi wao huzeeka mapema.
Hali kadhalika mawazo na hofu juu ya mwenendo na maendeleo ya biashara yako.
Kujiajiri kumesababisha watu wengi sana kuwa wachawi kwa ajili ya kuboresha vipato vyao.
Kujiajiri ni safari ya kupanda na kushuka, na pia haieleweki na hata Maendeleo ya watu wake hayaeleweki pia.
Na kikukweli wengi waliojiri ndio watumwa wa biashara zao.
Nakubali hili...huku inatakiwa mioyo ya chuma otherwise kaa mbaliiiKujiajiri muda mwingi ni presha tu moyo mbio mbio
Ndio advantage ya biashara ulipo...ikisha kaa stable una enjoy ila before hapo unahenyeka na kumenyeka mpaka unatamani kukufuruKiinua mgomgo chako kwa kazi yako utakacho lipwa. Ndio namiliki Bank.
Tofauti n PESA iliyoko kwenye mzunguko w bzness yangu.
Asante mungu kwa kunifanya niwe entrepreneur.
Jamani raha kuona PESA zako ziko ongezeka kidogo kidogo BANK mpk kua sw n kiinua mgomgo cha mtu.
Pia fresh money ni raha mnoooo. Pia likizo unajipangia uende wapi.
HII NI KWA NIA NJEMA TU
Kila mtu ashinde mechi zake.
Mawazo ya kufilisikaNajua kwa haraka haraka mtafikiria kunijibu kwamba "Mwajiri hawezi fikia mafanikio ya Mo ai Bakhresa" ....vuta pumzi tulia!! Hao kina Mo watoe akilini mwako maana wapo kundi tofauti kabisa ni wafanyabiashara waliofikia mafanikio ya biashara zao kujiendesha hata wakiwa wamelala.
Mtu mwenye ajira hapa bongo serikalini ana nafuu zaidi maana mwisho wa mwezi mwajiriwa ana uhakika ila aliejiajiri ni juhudi zake, akipoteza mda imekula kwake.
Mwajiriwa hata akifiwa, akiumwa, akioa/kuolewa, anapewa kalikizo.. hapo kila jumamosi na jumapili yupo free, bado ana likizo ya mwezi moja kila mwaka, sherehe za serikali na za dini haendi kazini, Ana muda mwingi wa kuweza kupumzika na familia na kufanya shughuli za kijamii.
Wafanyabiashara wengi nawajua tangu nimepata akili za kuijua dunia mpaka leo hii wao siku ya kupumzika ni christmas tu, wenye nafuu huwa wanapumzika jumapili pekee, siku zingine hizo ni bampa to bampa wanaondoka alfajiri wanarudi usiku, yani hata muda wa kuspend na watoto hawana,
Ukiwa kwenye ajira unaweza kujiajiri pia
Nani mtumwa hapo
Labda kama wewe ni muajiriNimeshafanya kazi na taasisi kubwa na nyeti nchini, lakini sijawahi kujutia kujiajiri
Wa hivi ni wachache Bwashee usijitoe ufahanu, majority are toilingKiinua mgomgo chako kwa kazi yako utakacho lipwa. Ndio namiliki Bank.
Tofauti n PESA iliyoko kwenye mzunguko w bzness yangu.
Asante mungu kwa kunifanya niwe entrepreneur.
Jamani raha kuona PESA zako ziko ongezeka kidogo kidogo BANK mpk kua sw n kiinua mgomgo cha mtu.
Pia fresh money ni raha mnoooo. Pia likizo unajipangia uende wapi.
HII NI KWA NIA NJEMA TU
Kila mtu ashinde mechi zake.
.Najua kwa haraka haraka mtafikiria kunijibu kwamba "Mwajiri hawezi fikia mafanikio ya Mo ai Bakhresa" ....vuta pumzi tulia!! Hao kina Mo watoe akilini mwako maana wapo kundi tofauti kabisa ni wafanyabiashara waliofikia mafanikio ya biashara zao kujiendesha hata wakiwa wamelala.
Mtu mwenye ajira hapa bongo serikalini ana nafuu zaidi maana mwisho wa mwezi mwajiriwa ana uhakika ila aliejiajiri ni juhudi zake, akipoteza mda imekula kwake.
Mwajiriwa hata akifiwa, akiumwa, akioa/kuolewa, anapewa kalikizo.. hapo kila jumamosi na jumapili yupo free, bado ana likizo ya mwezi moja kila mwaka, sherehe za serikali na za dini haendi kazini, Ana muda mwingi wa kuweza kupumzika na familia na kufanya shughuli za kijamii.
Wafanyabiashara wengi nawajua tangu nimepata akili za kuijua dunia mpaka leo hii wao siku ya kupumzika ni christmas tu, wenye nafuu huwa wanapumzika jumapili pekee, siku zingine hizo ni bampa to bampa wanaondoka alfajiri wanarudi usiku, yani hata muda wa kuspend na watoto hawana,
Ukiwa kwenye ajira unaweza kujiajiri pia
Nani mtumwa hapo
Private sector wengi mateso ila.ukiotea mchongo Huwa Kuna pesa ndefu sanaAfu mbona umetoa mfano wa walioajiriwa serikalini tu?
Acha uongo salary ya 700k Kwa mtu mwenye nidhamu ya pesa anasevu 200k-300k na sio pungufu ya hapo..Jiulize swali kwanini wenye mshahara wa 700k hawana uwezo wa kuwa na akiba ya 100k Kwa mwezi.mshahara hauwezi kukuta 10k ya mshahara mwingine .Kiufupi ukiwa kwenye ajira na unalipwa chini ya million tofauti yako na mama siwema anayechoma vitumbua vya miatano miatano ni ndogo sana ,utamzidi kuvaa ,madeni , kukopa kwenye vikundi na saccos.