Wanaofanya hivyo ni watu wasiotaka kutambulika kama ni vikongwe,wazee,vijana au watoto πππ.Na huenda wakawa wezi kwani wanaficha sura zao kwa namna hiyoπππππView attachment 2526029
View attachment 2526030
Ngozi inaharibika sanaa ukizeeka pia Mbona kuna wabibi wana ngozi nzuri sanaa na wamezeeka tuache kutumia vipodozi vikali
Mwanaume atakupenda tu hata ukiwa wa njano au mwekundu ukiona hajakupenda jua sio wako ,wako yupo tu atapenda rangi yako maana wanawake wengi wanahangaika kujipodoa sababu ya wanaume
Kila siku marudio yanakuwepoMie nlikua sijui hata.
Yes leo naelewa ni fungu langu na Kosa moja.Kila siku marudio yanakuwepo
Saa 5 Hadi 5 na nusu asbh
Na saa 12 Hadi 12 na nusu
Huo muda Kila siku wanarusha marudio ya michezo ya Jana yake.
Ikiisha hiyo wanarusha marudio ya fundi.
Ila leo saa 1 ni fungu langu kama kawaida
Kila siku marudio yanakuwepo
Saa 5 Hadi 5 na nusu asbh
Na saa 12 Hadi 12 na nusu
Huo muda Kila siku wanarusha marudio ya michezo ya Jana yake.
Ikiisha hiyo wanarusha marudio ya fundi.
Ila leo saa 1 ni fungu langu kama kawaida
Kila siku marudio yanakuwepo
Saa 5 Hadi 5 na nusu asbh
Na saa 12 Hadi 12 na nusu
Huo muda Kila siku wanarusha marudio ya michezo ya Jana yake.
Ikiisha hiyo wanarusha marudio ya fundi.
Ila leo saa 1 ni fungu langu kama kawaida
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi yule nesi anatembea na yule mwehu anaitwa nani? Kwanin anafanya vile jamani yule mwehu anatoroka kwao usiku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Main character wao walimkoseaEheee na kosa moja angalau nzuri kiasi yule jay voice ananichekesha sana Ila inaoneshwa jumamos na jumapili
Mimi siipendiYes leo naelewa ni fungu langu na Kosa moja.
Kosa moja, series inanihusu somehow hii, siachi kuitazama.
Mimi siipendi
Unanikera
Huyu dada amepoa kama maji ya mtungi
Haendani na kuwa msanii.
Hivi ndo huyu alicheza na mzee small?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cath si ndio ?yaan kapoa mno
Hiv unakumbuka huyu zamani kwenye mzee small Huyo mama aliigizaena mzee small,hako kababu kananichekesha sana eti kalimuambia kuwa na wewe ni hisani tu [emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli hii wamejitahidii sanaa
View attachment 2528651
View attachment 2528652
View attachment 2528653
Huyu mama aliigiza zaman na mzee small marehem alikuwa anaolewa sijui wakauziwa mbuzi kwenye gunia enzi hizo ndio maigizo yameanza
Mimi silipendi[emoji23]Mwenyekit mbabe jamani ana roho mbaya ndio nin kwenda kumkaba mgonjwa [emoji23][emoji23][emoji23] na sura yake ilivyo
Hivi ndo huyu alicheza na mzee small?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah maisha yanaenda kasi,nilikuwa nishaanza msahau mzee small.
Huyo mzee anachekesha[emoji23]
Kwenye beki tatu ndio alikuwa ananichekesha zaidi,Ebitoke alikuwa anamwita mjomba kulwa,anasema sema Anko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa kweli huu mchezo wa kosa moja sijui hata ulipitaje Azam wakauweka.
Yule dada amepangiwa character hata haendani nayo.
Msanii gani anaongea kama anataka kufanya maombi ya kuabudu.
Yeah Gigy angefaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilimuona kwenye beki tatu kwakweli wanachekesha
Kwenye kosa mau anaboa
Cathy anaboa
Nahisi nafasi ya cathy wangemuweka gigy unaonaje?
Yeah Gigy angefaa
Wangeweka mtu anayejiweza ,mcharuko,mwenye kashkash hivi
Huyu dada waliyemuweka kwa kweli ameharibu mchezo mzima
Uwezo wake hauendani na hii character.
Hata kwenye moyo,alibebwa sana na Characters wengine.
Haiwezekani mwanasheria hata mara moja hajastate kifungu chochote cha act..aisee shule pia ni muhimu kwa hawa waigizaji wetu.
Anko kulwa kwenye beki tatu yaani ilikuwa ni[emoji23][emoji91][emoji119]
Yaani kama hili kosa Moja mimi nashangaa sijui hata lilipitaje kwenye pannel ya Azam hadi likashinda kupitishwa.Walitakiwa wawe wanasoma pia director wao anakuwa sio mzuri kiukweli maigizo mengi hayana uhalisia