Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Yaani huyu mama ni boonge la comedianKaimba vizuri sanaa
Leo nimeangalia zahanat nimecheka sana Bi ubwa anachekesha halaf mbea jamani anawaambiwa Gati na yule whitemaria kuwa kumbe mauja ni mgonjwa anatumia ARV anataka kumuua Ombeni [emoji23][emoji23]
Yaani huyu mama ni boonge la comedian
Umeaona na yule Anko Kulwa
Anamwambia yule mama nendaaa,Mbona huendi?
Nenda salama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani Mauja
Na Ombeni mwenyewe sijui hata anaumwa Nini,siku zile sikuangalia alisema anaumwa nini.
Bi Star naye ananichekesha[emoji1787]
Whitemaria soon anakamatwa kwa yule kaka chizi.
Zungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka sana leo kwa kweli wamejitahidi kuigiza na walivyo wambea pale wakakutwa na mwenyekit wanatoroka kazin wanavyoguna sasa ,Omben anawaangalia moyon anajiambia hawa watu wambea jamani
White maria kampendea nin yule chizi jamani,masalu na rafiki yake wanachekesha wanaulizana eti terrible maana yake nin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli inachekesha
Yule babu nae ana msimamo eti nendaaa weee Mbona huendi bora bi ubwa hana mambo ya uzinifu
Bi Ubwa alivyokuwa anamfukuza rafiki yake Tausi pale hospital [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mara amempiga mgonjwa na kibao,
Mgonjwa alivyorudishia kwa kumkanyaga mguu
Anamwambia njoo ,amekunja ngumi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]
Zungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zungu anavyomwangalia Gisela
Eti twiga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zungu anachekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila li Mwenyekiti silipendi,
Nasubiri nalo lipatwe na mabaya aisee
Anamnyanyasa mno mke wake maskini.
Hizo nyingine huwa siangaliiMwekt anatisha lo mkewe nae taahira tu
Imeanza ya kihindi unaangalia?ka Amman nzuri sana
Alivyomzabua kwa nguvuNimecheka mno wagonjwa wanazabwa vibao [emoji23]
Kuna watu sijui hata wapoje!Eti unaonewa Upo tuuu na una kazi yako kaaa
Angalau angekuwa mkali,akaze kiasiKuna wanawake huonewa vile na hawaondoki
Kumbe Ombeni ana Kansa[emoji3064]
Ila amepewa character ngumu aisee, kucheza na yule mama,
Kuna muda unaona kabisa anaona aibu.
Kuigiza kipaji[emoji119]
So far amefanya vizuri sana,japo ni mgeni kwenye tasnia.
Nimeona marudio ya JanaKumbe ,anajua kuigiza,halaf mpole niliona bi ubwa anasema mauja ni muathirika
Nimeona marudio ya Jana
Gata alivyopokonya kopo la dawa aliloshika
Akawa anamwambia hii si dawa za Kansa?
We umetoa wapi na wakati hapa hizi dawa hatuna.
Anajitahidi kuigiza..
Anaongea kipole sana.
Ila scene na kucheza na Mauja dah ni mtihani[emoji1787], Kuna muda anapata aibu aisee..yule mama mtu mzima kuigiza naye chumbani mtihani.
Mauja alishawahi muhadithia Tausi hiyo stori kuwa aliwahi kubakwa.