Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Yaani huyu mama ni boonge la comedianKaimba vizuri sanaa
Leo nimeangalia zahanat nimecheka sana Bi ubwa anachekesha halaf mbea jamani anawaambiwa Gati na yule whitemaria kuwa kumbe mauja ni mgonjwa anatumia ARV anataka kumuua Ombeni [emoji23][emoji23]
Umeaona na yule Anko Kulwa
Anamwambia yule mama nendaaa,Mbona huendi?
Nenda salama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani Mauja
Na Ombeni mwenyewe sijui hata anaumwa Nini,siku zile sikuangalia alisema anaumwa nini.
Bi Star naye ananichekesha[emoji1787]
Whitemaria soon anakamatwa kwa yule kaka chizi.