Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Umefutwa kumbeUlifutwa! Mkuu ila ungebaki kwa rejea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefutwa kumbeUlifutwa! Mkuu ila ungebaki kwa rejea
Nisiwe muongo! sijui ila sioni comments zangu nikadhani ulifutwa. Ngoja niufuatilie kama upo Dejane nimpe link.Umefutwa kumbe
Huu hapa:Mbona nilipitwa uzi gani nikasome?
Uzi ulifika mbali comments zangu zote wamefuta.
Hata ukisoma hutafaidi best comments nyingi wamefutaSawa ngoja niusome
WameuharibuNaona wamefuta comments
Mwishoni wakavamia Wasagaji wakaaza kujisifia na kuweka imoj za upinde nikaingilia ndipo uzi ukafutwaHuo uzi nilikuwepo ila sikufatilia
Si mwingine bali ni ibilisi bin shetani Culture MeKuna mtu niliona anaweka alama ya upinde wa mvua nimemsahau nilikomea pale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahSio mzuri hata.
Kuna rafiki yangu mmoja aliniambiaga “yani hapo ungepitisha kacream kidogo ungepata rangi nzuri sana”before ya yeye kumalizia kuongea…nilimjibu “we phaller ishia hapo hapo na usirudie tena huo ujinga”
[emoji2][emoji2][emoji2]mpka leo ananiogopa
Bi ubwaHivi unaangaliaga zahanat ya kijiji? Inanichekesha sana mim
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haikunivutia tangu day one..ila huwa naangalia hivyohivyo
Ila ya juzi ilinivunja mbavu
Bi Ubwa alipoamka asbh kwenye lile shimo[emoji1787]eti watu wa Mwembetogwa wabaya jamani,hawanipendi
Mi si nililala ndani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bi ubwaa aliwapiga vibegaaa lolEhee mwauja na ombeni
Siku moja yule mama mnene alodumbukia shimoni akawakuta kwenye stoo ya dawa nae akamuambia omben hivi huoni saizi zako?tafuta saizi yako
Yule nesi mwenye upara eti tatizo mwauja nataka sitaki nataka sitaki ukitaka takaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikuja JF kusifiwaaaaa, poleniii sanaaaa vipi vikundi vyenuuu mmeishia wapiiiii?Wengi wana JF wasingekuwa wanafiki na kupambana na hao jamaa kama wewe, ujinga huu ungefutika. Lakini wengi ni wanafiki. Imagine mvulana kama cocastic anasifiwa na wanawake kwa upuuzi wake. Hii si sawa. Angalikuwa ni mtoto wako, ungefurahia akunjwe?