Tuache kujichubua

Tuache kujichubua

Umeona eeh??
Haendani kabisa na ushua


Huyu anafit kucheza uswahilini.

IMG_7802.jpg

Hawa hamuwaangaliii? [emoji23][emoji23]
 
Sema hii ya moyo niliipenda sana

Wengi waliperform vizuri

Hata wale wabovu wachache walibebwa na wengi waliofit.
IMG_20230226_000131_706.jpg
IMG_20230226_000137_239.jpg
 
Ila jamani azam hakuna vitu vya kuangalia ,sinema zetu chá kuangalia zahanat ya kijiji ,fundi,fungu langu nayo siifatilii,
Azam two naangalia our story na scandal,revenge ilinishinda haiish inaniboa
Azam one naangalia second chance na the unit hapo kabla kulikua na the American ilikuwa nzuri sana ghafla wakaitoa sijui iliisha hata sikuelewa hapa wakiweka movie wanaweka movie za zaman mbaya mbaya tu
Wanarudia sana movie kama Salt,mr bean uwiii ,zile Chanel mb 2 na max movie ni za zamani tu
Naipenda sana second chance ikiisha tu silipiii bora niwe naweka series naangalia

Au wenzangu kuna vitu mi sivijui
National geographic
History
Discovery science
Investigation Discovery ID

Anza kuangalia hizo
 
Zahanati
Bi Star anamwambia kimbembe
Naona una sura ya uwaziri mwanangu
Kama siyo uwaziri basi ukuu wa mkoa hukosi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Back
Top Bottom