Tuache kuuma Uma maneno, Manara kamlilia Mungu wake Na Mungu amemjibu

Mwakani mpambane sasa muende club bingwa
Bila shaka inawezekana... Wale akina sakho , canoute , banda ni wakawaida sana , Usajili wa darosa ni WA kizembe , infact cocha alikuwa Sven na kikosi chake ndo mlitamba nacho na Sasa huyu kocha darosa kashindwa yeye usajili... Unaposajiri mchezaji hakikisha ni fundi Zaid ya Zaid Kama ni WA kawaida basi awe tough and strong
 
Amlilie tena ili Yanga icheze makundi...
 
Ur getting it out of context mkuu. Yeye anamlilia Mungu Kwa dhulma aliyo fanyiwa na anayo endelea kufanyiwa na Makolo ...

Tajiri kajidhulumu Pesa zangu namshitakia Mungu Kwa dhulma niliyo fanyiwa. Mungu atatoa adhabu kwa huyo tajiri Na sio kunipa Mimi utajiri nilio dhulumiwa
Itanilazimu kufanya Tena Kazi Kwa bidii kama nilivyo fanya awali ili niweze kuukwaa Tena utajiri ndio utaratibu upo hivyo..
 
Sawa Takadini
 
Bila shaka inawezekana... Wale akina sakho , canoute , banda ni wakawaida sana , Usajili wa darosa ni WA kizembe , infact cocha alikuwa Sven na kikosi chake ndo mlitamba nacho na Sasa huyu kocha darosa kashindwa yeye usajili... Unaposajiri mchezaji hakikisha ni fundi Zaid ya Zaid Kama ni WA kawaida basi awe tough and strong
Darosa hajusqijili bali aliyesajili alikuwa HnsPopoe
 
Haihusu kitu yule mdosi kauza wacheza wazuri ndiyo matokeo ya kufanya vibaya. Hayo mengine ni hadithi tu za kitaa.

Kuna watu Dua zao huwaga Ni kun faya kun hasa hasa pale Haki inapokuwa upande wao...

Nabado!!! Kufa hamfi ila cha Moto mtakiona..
 
Back
Top Bottom