Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na simba alipofika robo fainal CAFCL??Mafisango si mlikula rambirambi nyinyi,si mlikula!
Kwahiyo yanga kutolewa na rivers united nani kamlilia Mungu.?Ur getting it out of context mkuu. Yeye anamlilia Mungu Kwa dhulma aliyo fanyiwa na anayo endelea kufanyiwa na Makolo ...
Tajiri kajidhulumu Pesa zangu namshitakia Mungu Kwa dhulma niliyo fanyiwa. Mungu atatoa adhabu kwa huyo tajiri Na sio kunipa Mimi utajiri nilio dhulumiwa
Itanilazimu kufanya Tena Kazi Kwa bidii kama nilivyo fanya awali ili niweze kuukwaa Tena utajiri ndio utaratibu upo hivyo..
Watuambie kwahiyo yanga aliyemlilia mungu mpaka wakashindwa kupata hata sare champions league ni Nugaz au Dismass Tenna utopolo nao wanalaana ya Nani[emoji16][emoji16][emoji16].tena nje ndani.
2-0.
Simba 3-3.
Matokeo ya Simba hayaumizi.
Kuna mtu kacheza CAF hata droo kashindwa kupata
Yaani yanga msimu uliopita ilikuwa bora zaidi ya simba duùuh kazi kweli kweli nchi hiiSasa inabid Azam wapate wachezaji wazuri wengi ili Simba ikabebe kikosi chote Kama ilivofanya ule msimu, na wakiendelea hivi Kuna walakin hata nafasi ya pili ikawa ngumu sana na Simba ikitoka klab bingwa na shirikisho hata nidhamu unakuwa chini inapokutana na Tim ndogo....Kuna mechi niliangalia msimu uliopita zilikuwa nyepes kwa Simba kwa kuwa waliheshimiwa tu na wapinzan lakn kiuwezo Simba alikuwa chini kwa baadh ya game, yanga alidharauliwa na kila gem ikawa ngumu kwao japo kuwa Bora Zaid, Simba inahitaji Zaid viungo kuliko washambuliaji
Eee mzee Kuna game Simba alishimda sabab ya heshima .. Sasa Kama watu hata uwanjan wanaingia kinyonge SI ndio maana wanafungwaYaani yanga msimu uliopita ilikuwa bora zaidi ya simba duùuh kazi kweli kweli nchi hii
Jitahidi kuficha ujinga wako mdauKuna watu Dua zao huwaga Ni kun faya kun hasa hasa pale Haki inapokuwa upande wao.
Na bado!!! Kufa hamfi ila cha Moto mtakiona..
Manara huyu huyu aliyefanziwa na Mzee Tozi asikilizwe na Mungu? Masihara hayoKuna watu Dua zao huwaga Ni kun faya kun hasa hasa pale Haki inapokuwa upande wao.
Na bado!!! Kufa hamfi ila cha Moto mtakiona..
simba tunamchukulia poa manara bt kuna time itafika tutatamani tumuombe samahani ila aibu itatushika, kuudharau mchango wake na kumbambikia kosa la usaliti litaitafuna team yetu mpaka basi, tuna team nzuri ila manung'uniko ya manara yanaharibu kila kitu japo wengi kwa sasa hatutakubali bt muda utatujibu.
magumu inayopitia ndo kujibiwa ya dua, so after malipo dua haizuii kufanya vizuriKwahiyo siku simba ikitapoanza kufanya vizuri hiyo dua itakua imeisha nguvu.Hebu acheni Kumuhusisha Mungu na vitu vyakijinga.Simba ni Timu ya kawaida sana inayoweza kukutwa na matokeo mabovu wakati wowote.Hakuna cha dua wala kitu gani.