Tuache kuuma Uma maneno, Manara kamlilia Mungu wake Na Mungu amemjibu

simba tunamchukulia poa manara bt kuna time itafika tutatamani tumuombe samahani ila aibu itatushika, kuudharau mchango wake na kumbambikia kosa la usaliti litaitafuna team yetu mpaka basi, tuna team nzuri ila manung'uniko ya manara yanaharibu kila kitu japo wengi kwa sasa hatutakubali bt muda utatujibu.
 
Simba ya Sasa imepwaya. ..hayo ya dua za Manara ni ngonjera tu.
 
Mungu hana huo muda,
Ukiwa mzembe unapata stahiki yako
 
Jana kila mmoja angewajibika kama match ya NKANA hapa dar,
Wala usingemtaja huyo Manara..
Wachezaji walirelax, hawakua na morali...
 
Jana kila mmoja angewajibika kama match ya NKANA hapa dar,
Wala usingemtaja huyo Manara..
Wachezaji walirelax, hawakua na morali...
hiyo ndo karma, kama hujui inafanyaje kazi itafute ujifunze
 
na utopolo nao wanalaana ya Nani[emoji16][emoji16][emoji16].tena nje ndani.
2-0.
Simba 3-3.
Matokeo ya Simba hayaumizi.
Kuna mtu kacheza CAF hata droo kashindwa kupata
 
Uchebe naye aliwabeba
 
Mchezaji wenu yupo Kama Diwani wa zamani wa Msigani Dsm ,ana shingo Kama wale ndege wa ziwa Victoria wanaitwa Bwana Afya.
 
Huyo mungu wake alikua wapi walipocheza na Rivers united?au hakumlilia?
 
Kabisa kabisa.
Sasa inabid Azam wapate wachezaji wazuri wengi ili Simba ikabebe kikosi chote Kama ilivofanya ule msimu, na wakiendelea hivi Kuna walakin hata nafasi ya pili ikawa ngumu sana na Simba ikitoka klab bingwa na shirikisho hata nidhamu unakuwa chini inapokutana na Tim ndogo....Kuna mechi niliangalia msimu uliopita zilikuwa nyepes kwa Simba kwa kuwa waliheshimiwa tu na wapinzan lakn kiuwezo Simba alikuwa chini kwa baadh ya game, yanga alidharauliwa na kila gem ikawa ngumu kwao japo kuwa Bora Zaid, Simba inahitaji Zaid viungo kuliko washambuliaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…