Tuache na kupigana ban sasa, ni wana JF gani utaweza kuwa recommend katika nyadhifa hizi za serikali?

Uraisi wa chama Cha ma jobless pro max una nitosha mkuu, uki zingatia mimi ni katibu mwenezi wa kataa ndoa.
Dogo Kataa ndoa imeshakufa sasa wamepoa kabla sijaanza battle nao , kwenye Majobeless hautufai nakukataa Mimi na simama na Muimba SINGELI , anatosha kutoongoza Majobeless kutufikisha nchi ya ahadi
 
Shukran Mkuu. Ukiona JF Member unawaziwa hivi na Great Thinkers tena wa JamiiForums jua kuna Kitu kizuri ulichobarikiwa na Mungu wamekiona.

Haters mpo.........Kudadadeki zenu....!!!! Mtanuna sana mwaka huu.
 
Shukran pamoja sana mkuu , tena uIlibidi uwe kitengo cha mkuu wa usalama kutokana na uwezo wako mkubwa wa kunusa hatari , mikakati ya chini na kukomesha wahuni kiroho mbaya ila hapo halipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…