Unafaa madaraka maana tuna mpango kabambe πππUna akili kijana utafika mbali πππ, Muimba SINGELI
Sitaki miaka mingi wanipe mitano tu inanitosha π πUnafaa madaraka maana tuna mpango kabambe πππ
Jambo letu hata miaka 2 inatosha hiyo mi3 itakayobaki ni yakuombea msamaha wananchi πππSitaki miaka mingi wanipe mitano tu inanitosha π π
Hata mimi nilitaka kusema hivyo hivyo!
Hili taahira si litamaliza watu hill? Bora hata achukue Tlaahtlaaah!Igp nampa GENTAMYCINE
Hii imeenda ndugu yangu kiukweli hapo kazi itafanyika.1.RAIS. adriz
2: WAZIRI MKUU Pascal Mayalla
3: WAZIRI WA HABARI/MAWASILIANO Waufukweni
4: SPEAKER WA BUNGE Kalpana
5: WAZIRI WA UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO Intelligent businessman
6: WAZIRI WA MAMBO YA NJE Maghayo Shadeeya
7: IGP GENTAMYCINE
8: WAZIRI WA FEDHA Selikavu
9: MSHAURI WA RAIS Shadeeya
10: WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII secretarybird