Mengi yanasemwa ya kwanini tumekula 3-0 dhidi ya DRC, lakini kwangu naona ni porojo tu!
Hebu twendeni taratibu, hatua kwa hatua.
Wale Wakongo waliopo Yanga na Simba, kwa viwango vyao vile vile wanavyoonesha sasa... je, kama wangekuwa Watanzania, ni wangapi wangekosekana kwenye kikosi cha Taifa Stars?
Yaani, hapa kuna Henock Inonga, pale kuna Chris Mugalu!
Kisha tunahamia kwa Wananchi. Pale kuna Yanick Bangala, huku kuna Djuma Shaaban, Fiston Mayele, Mukoko Tomombe, mara unakutana na Jesus Moloko, bila kumsahau Herieth Makambo!!
Je, endapo hao wote wangekuwa ni Watanzania, kwa viwango hivi hivi walivyo navyo sasa, ni wangapi wangekosekana kwenye kikosi cha Taifa Stars.
In contrary, ni wangapi miongoni mwao wapo kwenye kikosi cha DRC kutokana na Ukongo wao?!
Hebu tupanue kikosi.
Hapa kuna Khalid Aucho na Thadeo Lwanga, pale kuna Medi Kagere na wazee wenzake akina Joash Onyango, Serge Wawa na Saido Ntibazonkiza! Ongeza na Larry Bwalya, Bernard Morrison, Yacouba Sogne, bila kumsahau Prince Dube na Idris Mbombo... wengine ongeza mwenyewe.
Tuseme wote hao wangekuwa Watanzania, ni wangapi wangekosekana kwenye kikosi cha Taifa Stars, na kama wangekuwa ni Wakongo, ni wangapi miongoni mwao wangeweza angalau kuitwa kwenye kikosi cha DRC?
Hivi unamwacha nani kwa mfano kutoka kwenye kikosi cha DRC ili umwingize our Ball Scorer aka John Bocco ili akashirikiane na wazee wenzake waliopo kwenye kikosi cha DRC?
Hivi Makolo sijui mnanielewa!