Tuache porojo, hii ndiyo sababu ya kwanini Taifa Stars imepoteza. We're exactly where we belong

Ukitukana inasaidia nin?
Hatuna team huo ndio ukweli ni bora kuanza upya na vijana wadogo
Hao akina Nondo, job, nova,fei, hata kipa yule wa biashara mdogo,calvin,amme , manyama na wengine
Wazee wapumzishwe
Tatizo sio uzee. Mchezaji mzee anaecheza Genk au West ham ni bora kuliko kijana anaecheza Yanga, biashara. Hao vijana kama wataendelea kucheza ligi yetu usitegemee chochote cha maana kwa team ya taifa.
 
ha ha ha , Huwezi linganisha SAMATTA na wapiga puli wa Yanga, Simba, wakitoka uwanja mda wote wapo headphones kwenye insta kuchat na madem wa vyuo na kupigana mikasi na kupiga puli wakati wenzao wanapambana kufanya mazoezi.
 
Ni kweli kabisa.Huwezi linganisha mzee Mbokani au Samata na hao vijana sijui akina Lusajo, Kibu Denis. Tatizo sio uzee ajue hilo.
 
Upo sahihi...uwezo wetu umeishia pale...ni bora tuwekeze zaidi kwenye soka la vijana kwa ajili ya kesho.
yes, na tujitahidi sana kuwapeleka vijana kucheza soka la kulipwa, kilichotokea jana ni sisi kutokuwa na uzoefu, jamaa wametumia chance chache sana kutumaliza wakati sisi tumepata chance nyingii lakini bure bure kabisa.
 
Ukitukana inasaidia nin?
Hatuna team huo ndio ukweli ni bora kuanza upya na vijana wadogo
Hao akina Nondo, job, nova,fei, hata kipa yule wa biashara mdogo,calvin,amme , manyama na wengine
Wazee wapumzishwe
We ni k hao ungewaanzisha si ungekula 10 kabisa
 
Ni kweli tumepata tulichostahili.
Ili tupate timu bora tunahitaji kuwekeza pesa nyingi kwenye soka. Tuwe na academy za kufundisha soka kuanzia watoto.
Pia tupeleke wataalam wetu mataifa yaliyoendelea kisoka duniania wakajifunze.
Baada ya miaka mitano hadi kumi tutakuwa tumeishapata timu za taifa nzuri level zote za vijana na wakubwa.
Bila kuwekeza kwenye soka tutabaki na maneno maneno tu. Hatutafika popote.
 
Upo sahihi...uwezo wetu umeishia pale...ni bora tuwekeze zaidi kwenye soka la vijana kwa ajili ya kesho.
huko hakuna anaewaza hilo. Wao stars ni mtaji wa siasa. Mtu anachangisha hela eti taifa stars ifuzu. Hiyo billion moja ndiyo ianaenda kucheza, ndiyo itafanya wachezaji wasio na viwango vya kimataifa wawe na viwango?

Watoke tu sitaki huu upuuzi.

Tutakuwa na timu ya kushindana Hadi itakaopotokea tukajitambua km taifa tunataka nini.
 
Mengi yanasemwa ya kwanini tumekula 3-0 dhidi ya DRC, lakini kwangu naona ni porojo tu!

Hebu twendeni taratibu... hatua kwa hatua!!

Wale Wakongo waliopo Yanga na Simba, kwa viwango vyao vile vile wanavyoonesha sasa... je, kama wangekuwa Watanzania, ni wangapi wangekosekana kwenye kikosi cha Taifa Stars?!

Yaani, hapa kuna Henock Inonga, pale kuna Chris Mugalu!!

Kisha tunahamia kwa Wananchi... pale kuna Yanick Bangala, huku kuna Djuma Shaaban, Fiston Mayele, Mukoko Tomombe, mara unakutana na Jesus Moloko, bila kumsahau Herieth Makambo!!

Je, endapo hao wote wangekuwa ni Watanzania, kwa viwango hivi hivi walivyo navyo sasa, ni wangapi wangekosekana kwenye kikosi cha Taifa Stars!!

In contrary, ni wangapi miongoni mwao wapo kwenye kikosi cha DRC kutokana na Ukongo wao?!

Hebu tupanue kikosi...

Hapa kuna Khalid Aucho na Thadeo Lwanga, pale kuna Medi Kagere na wazee wenzake akina Joash Onyango, Serge Wawa na Saido Ntibazonkiza! Ongeza na Larry Bwalya, Bernard Morrison, Yacouba Sogne, bila kumsahau Prince Dube na Idris Mbombo... wengine ongeza mwenyewe!!

Tuseme wote hao wangekuwa Watanzania, ni wangapi wangekosekana kwenye kikosi cha Taifa Stars, na kama wangekuwa ni Wakongo, ni wangapi miongoni mwao wangeweza angalau kuitwa kwenye kikosi cha DRC?

Hivi unamwacha nani kwa mfano kutoka kwenye kikosi cha DRC ili umwingize our Ball Scorer aka John Bocco ili akashirikiane na wazee wenzake waliopo kwenye kikosi cha DRC?!

Hivi Makolo sijui mnanielewa!!
hhaahahah eti "hvi makolo sijui mnanielewa" hahahahaha
 
haya yote ndio matunda ya uwekezaji mbovu unaofanywa na serikali yetu, hakukuwa na miundo mbinu mizuri iliyofanyika ili kuwaandaa wachezaji bora kuja kuliwakilisha taifa most of them wanaokota okota tuu wachezaji ili kupata kakikundi flani then paaa timu ya taifa what a shame, na lakushangazaa zaidi mpaka sasa sidhani kama serikali ina mkakati wowote wa kuwekeza kwa vijana ili kupata timu bora ya taifa hapo mbeleni, pia na makocha wazawa hawaandaliwi kabisaaa,, NJAA MBAYA SANA AISEEE
 
Halafu assistant coach ni Shedrack Nsajigwa team manager ni Nadir Haroub .Hao wote wamesoma kozi za miezi mitatu mitatu pale Morogoro.
 
Halafu assistant coach ni Shedrack Nsajigwa team manager ni Nadir Haroub .Hao wote wamesoma kozi za miezi mitatu mitatu pale Morogo
yaaan janja janja tuuu afu tunataka matokeo mazuri,,hakunaga hiyo miujiza aiseee
 
Goli 3 tumewaonea ZAIRE, tulistahili kupigwa goli 5 kwa uchache.

Timu imekuwa chama cha SIASA.
Wanasiasa badala ya kuhamasisha ligi bora yenye wadhamaini hasa daraja la kwanza na la pili tupate ligi kuu bora wao anahamasisha kuzikazia simba na yanga, wanahamasisha mechi za mwisho, wachezaji hawana mazoezi na hawapendi mazoezi huku kila dabi mara wameruka ukuta, wamepita lango lisilo lao, mara dawa za mzee wa Bagamoyo, tumevuna tulichopanda na tutaendelea hivi hivi mpaka siku tukitoka kwenye usingizi wa pono.
Sahihi
 
Halafu assistant coach ni Shedrack Nsajigwa team manager ni Nadir Haroub .Hao wote wamesoma kozi za miezi mitatu mitatu pale Morogoro.
Cheap labour..
Ww unajua lile tumbo la karia limekuja kimchezomchezo
 
Ni kweli tumepata tulichostahili.
Ili tupate timu bora tunahitaji kuwekeza pesa nyingi kwenye soka. Tuwe na academy za kufundisha soka kuanzia watoto.
Pia tupeleke wataalam wetu mataifa yaliyoendelea kisoka duniania wakajifunze.
Baada ya miaka mitano hadi kumi tutakuwa tumeishapata timu za taifa nzuri level zote za vijana na wakubwa.
Bila kuwekeza kwenye soka tutabaki na maneno maneno tu. Hatutafika popote.
Wataalamu nje Shajigwa umpeleke nje elimu hana zero brain ataleta kipya kipi julio sifa tupu
 
Mengi yanasemwa ya kwanini tumekula 3-0 dhidi ya DRC, lakini kwangu naona ni porojo tu!

Hebu twendeni taratibu... hatua kwa hatua!!

Wale Wakongo waliopo Yanga na Simba, kwa viwango vyao vile vile wanavyoonesha sasa... je, kama wangekuwa Watanzania, ni wangapi wangekosekana kwenye kikosi cha Taifa Stars?!

Yaani, hapa kuna Henock Inonga, pale kuna Chris Mugalu!!

Kisha tunahamia kwa Wananchi... pale kuna Yanick Bangala, huku kuna Djuma Shaaban, Fiston Mayele, Mukoko Tomombe, mara unakutana na Jesus Moloko, bila kumsahau Herieth Makambo!!

Je, endapo hao wote wangekuwa ni Watanzania, kwa viwango hivi hivi walivyo navyo sasa, ni wangapi wangekosekana kwenye kikosi cha Taifa Stars!!

In contrary, ni wangapi miongoni mwao wapo kwenye kikosi cha DRC kutokana na Ukongo wao?!

Hebu tupanue kikosi...

Hapa kuna Khalid Aucho na Thadeo Lwanga, pale kuna Medi Kagere na wazee wenzake akina Joash Onyango, Serge Wawa na Saido Ntibazonkiza! Ongeza na Larry Bwalya, Bernard Morrison, Yacouba Sogne, bila kumsahau Prince Dube na Idris Mbombo... wengine ongeza mwenyewe!!

Tuseme wote hao wangekuwa Watanzania, ni wangapi wangekosekana kwenye kikosi cha Taifa Stars, na kama wangekuwa ni Wakongo, ni wangapi miongoni mwao wangeweza angalau kuitwa kwenye kikosi cha DRC?

Hivi unamwacha nani kwa mfano kutoka kwenye kikosi cha DRC ili umwingize our Ball Scorer aka John Bocco ili akashirikiane na wazee wenzake waliopo kwenye kikosi cha DRC?!

Hivi Makolo sijui mnanielewa!!

Wewe Jamaa kumbe ni Punda kwelikweli! Sasa huu uzi wako unawalenga Simba ili iweje? Kwani Taifa Stars ni mali ya Simba?
 
Back
Top Bottom