GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,432
- 5,864
Ni kweli yule Mbokani aliyepiga pasi ya goli la kwanza ana miaka 35...ukongwe wake na timu alizopita vimesaidia timu kupata ushindi.Tatizo sio uzee. Mchezaji mzee anaecheza Genk au West ham ni bora kuliko kijana anaecheza Yanga, biashara. Hao vijana kama wataendelea kucheza ligi yetu usitegemee chochote cha maana kwa team ya taifa.