Tuache siasa ajali ya ndege ya Precision Air

Kuna mtu mwenye picha ya mlango wa dharura wa ndege ya Precision air na jinsi unavyofunguka Ili tujue kama Kweli KASIA liliweza kufungua au ni waliokuwa ndani ya ndege ndo waliufungua!!!!!!

Maana mvuvi anadai alitumia KASIA kufungua,wakat huo huo Air hostess mdada majeruhi amedai kufungua mlango!!!!

Je, Majaliwa mvuvi nshomile ni mkweli kama Majaliwa wa Ruagwaaa??!!!

Hoja hiyo ametoa Hansbert Ngurumo.!!!
 
Majaliwa wote waongo yaani mwiko ufungue mrango real
 
Twende mbele na kurudi nyuma.

Aliyempeleka Majaliwa eneo la tukio na kusaidia manusura 24, huyohuyo anaweza kumsaidia Majaliwa asizamishwe na HILA za wabunge wenzie bungeni.
 
Wewe unaonyesha kuwa na chuki na serikali. Na haya ni makosa yako yaliyoanzia toka ulipoamua kuwa wanaharakati na kuaminishwa kuwa kila kitu ni serikali. Utakuwa unatutendea jambo la maana kama ungekuwa unahimiza mjadala wa haki bila chuki. lakini kwa chuki zako dhidi ya wenye mamlaka- mjadala unaopendekeza ni kupoteza mda
 
Twende mbele na kurudi nyuma.

Aliyempeleka Majaliwa eneo la tukio na kusaidia manusura 24, huyohuyo anaweza kumsaidia Majaliwa asizamishwe na HILA za wabunge wenzie bungeni.
Unaongelea Majaliwa yupi?
 
They are comparing Emergency Door ya Yutong na ATR. Let us wait for technical report. My little knowledge tells me that aircraft cabins are pressurised. Is there any marking on the outside of the aircraft to show Emergency Exit/Door.
 
Ni kweli brother, but mpaka hiyo report inawekwa hadharani Sidhani kama itakuwa authentic, kikubwa ni kutumia common sense zetu tu na kumuomba Mungu!
 
Not necessary kuwa na control tower viwanja vyote Tanzania...kikubwa rubani anapewa uongozaji unaohitajika na anajulishwa hali ya hewa ya uwanja husika kabla ya kutua.
Take into note kwamba control tower anashauri ila uamuzi unabaki kwa rubani hasa wakati wa kutua.
Mbona huulizi kama rubani aliomba kurudi mwanza???
Vipo viwanja vingi tu ambavyo havina control tower ila uongozaji unafanyika vizuri. Mfano ni seronera ambacho kina traffic kubwa ya utalii na abiria zaidi ya bukoba.
 
Nilitegemea kuona sauti zikipazwa ili viongozi wanaoguswa moja Kwa moja na uokozi wawajibishwe.
hili la kuwajibika kwa Tanzania halipo kabisa !! Jamaa waliohusika na huu uzembe wapo maofisini macho makavuu as if nothing happened.
 
UWEZEKANO MKUBWA NI KWAMBA Majaliwa hakuwahi kufanya kitu CHOCHOTE CHA MAANA KWENYE tukio hili: HUYU ALIKUWA ameandaliwa. Kumbuka KUWA AJALI HII haikutokea TU Bali ilitabiriwa kwanza KWENYE mtandao huu SIKU YA IJUMAA, halsf j2 ndiyo ikatokea. Aliyetabiri AJALI NI maharage YA mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…