Tuache SIASA: Dege la kwenda Geita limejaa abiria ni wengi, nimekosa siti

Tuache SIASA: Dege la kwenda Geita limejaa abiria ni wengi, nimekosa siti

Baraka DSM

Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
68
Reaction score
76
Aiseee Dege limejaa Kama lote abiria ni wakumwaga tuache masikhara jamani. Wanaosema abiria hawatakuwepo ni waongo sana. Hapa nahisi nitakosa siti jamani.

IMG_20201231_080745_771~2.jpg
 
Aiseee Dege limejaa Kama lote abiria Ni wakumwaga tuache masikhara jamani. Wanaosema abiria hawatakuwepo Ni WAWONGO Sana. Hapa nahisi nitakosa siti jamaniView attachment 1663486
Sawa, wewe una shilling ngapi hapo mfukoni? Je umekunywa chai? Una majukumu yoyote ya kulipia watoto school fees au ni kula kulala?

Ukijibu maswali haya ndio naweza kuelewa wewe ni category gani then ndio tuendelee na hui ushuzi wako.
 
Hizo ni hadithi tu.

Practically kusema mtu wa Geita mjini ama Katoro atapanda ndege ashukie Chato kisha arudi Geita huo ni uongo wa asubuhi.

Kutoka Mwanza hadi Geita ni 110km, kutoka Chato hadi Geita mjini ni zaidi ya km 150.

Huo uwanja wa ndege ni white elephant project. Na kwa sasa usishangae wote waliojaa humo ni security agents kwa sababu mzee yuko huko.

Tusubiri akitoka huko utuletee taarifa hali itakavyokua.

Pinda alijenga kwao baadae uwanja ukawa wamama wanaanikia mihogo na mahindi, mbuzi 🐐 wakawa wanacheza humo.
 
Back
Top Bottom