Ujinga huu huu ulimponza Magufuri,Magufuri aliwapuuza na kuwadharau Wanasheria,Magufuri aliwapuuza na kuwadharau Madaktari,Magufuri aliwapuuza na kuwadharau Maaskofu,Magufuri aliuupuza Mfumo wa nchi ulioasisiwa tangu akiwa shuleni na kuudharau kabisa.matokeo yake ndiyo haya ameachia baadhi ya familia majonzi yasiyoisha
Kama hujui jambo jitahidi kutafuta uelewa badala ya kuja na kauli za baseless arrogance.Msingi wa Mleta mada wa kulinganisha Udaktari na Sheria unatoka kwenye nobility nature za hizi profession ambapo mwanasheria au daktari unahitaji kuwa na competence na very high ethical standard ili kutunza siri na maamuzi yao yana athari kubwa kwa wateja wao.Kwa mfano:Wakili anapokea siri za mteja hata kama ameua atamweleza ukweli ili am-defend au Judge anapotoa hukumu pengine kwenye murder case lazima awe ameiva na awe na integrity ya hali ya juu vinginenyo maamuzi yake yanaweza kuleta irreparable damage kwa victim wa hayo maamuzi.Kwa upande wa Daktari,vivyo hivyo mgonjwa anaji-submit kwake na kumueleza hata siri za maradhi ambazo hawezi kumueleza hata ndugu yake kama wakati ambapo mgonjwa wa kike anapofunguka kwa daktari wa kiume bila hofu yoyiote kwa sababu ya nobility nature ya profession akijua kuwa daktari yupo ethical na ana integrity.Huwezi kulinganisha udaktari na sheria at the same level bana!!
Kumbuka kuwa kila fani ina uzito katika wakati husika,kwa mfano kipindi kile madaktari wa MOI walipotuhumiwa kumkata mguu mgonjwa kimakosa badala ya kufanya operation ya kichwa,ni ma-daktari hao hao walikimbilia na kuji-submit kwa wakili (Name withheld) ili awasaidie ku-defend case yao