Tuache siasa kwenye elimu ya Udaktari na Sheria. Jifunze kikwazo kilichopo Law School of Tanzania

Huwezi kulinganisha udaktari na sheria at the same level bana!!
Kama hujui jambo jitahidi kutafuta uelewa badala ya kuja na kauli za baseless arrogance.Msingi wa Mleta mada wa kulinganisha Udaktari na Sheria unatoka kwenye nobility nature za hizi profession ambapo mwanasheria au daktari unahitaji kuwa na competence na very high ethical standard ili kutunza siri na maamuzi yao yana athari kubwa kwa wateja wao.Kwa mfano:Wakili anapokea siri za mteja hata kama ameua atamweleza ukweli ili am-defend au Judge anapotoa hukumu pengine kwenye murder case lazima awe ameiva na awe na integrity ya hali ya juu vinginenyo maamuzi yake yanaweza kuleta irreparable damage kwa victim wa hayo maamuzi.Kwa upande wa Daktari,vivyo hivyo mgonjwa anaji-submit kwake na kumueleza hata siri za maradhi ambazo hawezi kumueleza hata ndugu yake kama wakati ambapo mgonjwa wa kike anapofunguka kwa daktari wa kiume bila hofu yoyiote kwa sababu ya nobility nature ya profession akijua kuwa daktari yupo ethical na ana integrity.
Kumbuka kuwa kila fani ina uzito katika wakati husika,kwa mfano kipindi kile madaktari wa MOI walipotuhumiwa kumkata mguu mgonjwa kimakosa badala ya kufanya operation ya kichwa,ni ma-daktari hao hao walikimbilia na kuji-submit kwa wakili (Name withheld) ili awasaidie ku-defend case yao
 
Hawa madaktari wetu ni vichekesho: Kuna mtu alienda kulazwa akiwa na tatizo fulani, wakasema watamfanyia operation. Alivyoamka akakuta wamemkata mguu wakati hakuwa na tatizo la

Acha kufananisha udaktari na upuuzi mwingine, Udaktari ni taaluma hasa Sheria ni kama siasa tu!
Kama hujui jambo jitahidi kutafuta uelewa badala ya kuja na kauli za baseless arrogance.Msingi wa Mleta mada wa kulinganisha Udaktari na Sheria unatoka kwenye nobility nature za hizi profession ambapo mwanasheria au daktari unahitaji kuwa na competence na very high ethical standard ili kutunza siri na maamuzi yao yana athari kubwa kwa wateja wao.Kwa mfano:Wakili anapokea siri za mteja hata kama ameua atamweleza ukweli ili am-defend au Judge anapotoa hukumu pengine kwenye murder case lazima awe ameiva na awe na integrity ya hali ya juu vinginenyo maamuzi yake yanaweza kuleta irreparable damage kwa victim wa hayo maamuzi.Kwa upande wa Daktari,vivyo hivyo mgonjwa anaji-submit kwake na kumueleza hata siri za maradhi ambazo hawezi kumueleza hata ndugu yake kama wakati ambapo mgonjwa wa kike anapofunguka kwa daktari wa kiume bila hofu yoyiote kwa sababu ya nobility nature ya profession akijua kuwa daktari yupo ethical na ana integrity.
Kumbuka kuwa kila fani ina uzito katika wakati husika,kwa mfano kipindi kile madaktari wa MOI walipotuhumiwa kumkata mguu mgonjwa kimakosa badala ya kufanya operation ya kichwa,ni ma-daktari hao hao walikimbilia na kuji-submit kwa wakili (Name withheld) ili awasaidie ku-defend case yao
 
Unajuaje kuwa ulivyoelezea wewe ndivyo mtoaji mada alimaanisha? Hapa hatuongelei nobility bali ugumu wa kozi husika. Wewe unaleta kitu tofauti ambacho huna uhakika kama mtoa mada alimaanisha.
 
Unajuaje kuwa ulivyoelezea wewe ndivyo mtoaji mada alimaanisha? Hapa hatuongelei nobility bali ugumu wa kozi husika. Wewe unaleta kitu tofauti ambacho huna uhakika kama mtoa mada alimaanisha.
ugumu una-determine vipi? Je umesoma kozi zote mbili na kujua zikoje?Je legal reasoning unaipima vipi na kulinganisha na udaktari? hakuna mahali mleta mada aliongelea ugumu nadhani hiyo ni misconception yako.Hayo mawazo ya Doctors kufikiria kozi yao ni ngumu kuliko kozi yoyote ndo yanafanya wawe over-ambitious na kukuta reality iko tofauti na kufanya baadhi huko vijijini kwenye vituo vya afya(Health facilities) kuwa frustrated na kubaki kugombana na ma-pharmacist katika kufungua maduka ya dawa kuganga njaa na kukosa focus ya taaluma yao
 
ugumu una-determine vipi? Je umesoma kozi zote mbili na kujua zikoje?Je legal reasoning unaipima vipi na kulinganisha na udaktari? hakuna mahali mleta mada aliongelea ugumu nadhani hiyo ni misconception yako
Kwa reasoning nyepesi tu, kozi ya miaka 5 huwezi kulinganisha na kozi ya miaka 3. Hata entry requirements, huwezi linganisha ugumu wa PCB na sijui HGK, HKE and the likes.
Chanzo cha mada hii ni mwendelezo wa mada mbalimbali ambazo zipo hapa zinahusu kufeli kwa wanafunzi wa shule ya sheria. Wengine wakisisitiza kuwa ni kozi ngumu, na wengine wakisema kuwa wanafunzi hawasomi bali ni vilaza. Hivyo nawe pia ni misconception yako kuanza kuleta mambo ya nobility ambayo ni totally nje ya mada ya mleta mada.
 
wewe ndo kilaza kabisa,kwenye developed world ambapo kuna facilities za kutosha,enzi za kupima ugumu wa kozi kwa longevity ya training imepitwa na wakati,sishangai ndo maana siku hizi kuna doctora feki wa aina yako ambao unaenda hospitali unashindwa kumtofautisha na clinical officer
 
Imepitwa lini na wakati? Sisi ni developed world? Nafikiri wewe uliangalia magwanda ndo ukashindwa kutofautisha. Tofauti ipo kichwani, na si kwenye mavazi.
 
Imepitwa lini na wakati? Sisi ni developed world? Nafikiri wewe uliangalia magwanda ndo ukashindwa kutofautisha. Tofauti ipo kichwani, na si kwenye mavazi.
we baki unazubaa na u-kilaza wako hutaki kujua yanayoendelea huko developed world unaishi kwenye closed system,kwa taarifa yako,with ARTIFICIAL INTELLIGENCE udaktari ni among the 'dying cadre' hivyo hamjipangi ndo baadae mnaishia frustration
 
Gamboshi-

Usianze kubadilisha magoli na kuficha ukilaza wako kwa kuita wengine vilaza. Kubadilisha magoli ni tabia ya mtu aliyeshindwa hoja.
 
Unayafahamu Malengo ya kuanzishwa kwa LST ? Nina hakika kama ungeyajua usingeleta huu ujingabhapa Jukwaani
 
Hoja ya kuwa wanafunzi waliofeli ni viaza ni uongo mtupu. Ukiangalia wamefaulu 4% kati ya watahiniwa 600 hivi, hiyo haiwezi kuwa shule na hakuna huo ugumu. Kama ni hivyo basi hata waalimu wana matatizo
 
Gamboshi-

Usianze kubadilisha magoli na kuficha ukilaza wako kwa kuita wengine vilaza. Kubadilisha magoli ni tabia ya mtu aliyeshindwa hoja.
Uzi wa kwanza alileta na conclusion ya kuwa wanafunzi wa LST ni vilaza. Anahamisha magoli sasa, si ajabu tume ikija na report inayoonesha udhaifu upo kwa LST na sio wanafunzi, si ajabu akaungana na report hiyo kwa kuja na suporting evidence kabisa.
Hawa ndo wanaojiita wasomi, cha ajabu hawana uhakika na msimamo wa kile wanachokiamini na kukisimamia.
 
Kuna mdau alisema hata mahakimu wakongwe wanapoenda Law school nao hukamatwa mara nyingi.
Je nao hawajui practical ya mahakamani?
 
Hizo porojo ya HKL zina ugumu gani? Acha wanyanyasane wao kwa wao wala hakuna ugumu wowote
 
Hoja ya kuwa wanafunzi waliofeli ni viaza ni uongo mtupu. Ukiangalia wamefaulu 4% kati ya watahiniwa 600 hivi, hiyo haiwezi kuwa shule na hakuna huo ugumu. Kama ni hivyo basi hata waalimu wana matatizo
Kama umesoma unajua majukumu ya mwalimu na majukumu ya mwanafunzi katika kafaulu, kama ingelikuwa kwamba mwalimu akiwa mzuri lazima mfaulu basi Darasa Zima lingefaulu. Tupo makazini tunawapokea hao wenye one na two na digrii zao Bado hawakidhi viwango vya ubora. Unaweza usiwe kilaza lakini mfumo wa elimu ukakudhoofisha na kukufanya kuwa na viwango duni.

Kama mfumo huko nyuma haukukupima kisawasawa, ukafaulu kwa viwango vikubwa lakini kwa vipimo duni, vinavyojali wingi bila ubora ukifika hatua ambayo vipimo vinajali ubora kuliko wingi lazima ukwame au utoboe kwa juhudi kubwa sana tena mno.

Mimi na wewe inawezekana tumepita kwenye mfumo wetu wa elimu na pengine umetunufaisha lakini tusiutetee kwasabu huko mbele tumefeli au ndugu zetu wamefeli. Serikali inayosimamia huo mfumo wetu wa elimu inakiri Kuna shida na Kila kukicha Kuna midahalo na makongamano wa ubovu wa mfo wa elimu. Hao hao watoto wapo kwenye shule zinatoa elimu kwa mtindo tofauti. Law school na taasisi nyingine zunazoandaa wataalamu wa fani mbali mbali wasiingiliwe Wala siasa isiingilie Ili watoe mtaalamu kwa maana yake. Tukisema huyu ni daktari , mwanasheria, mfamasia, mhasibu, mwalimu wa biology, history hisabati, kemia, fizikia nk. Basi wawe na utaalamu kweli bila kubabaisha. Kumbuka elimu ya university ni kuwa wewe imekuwa universal unaweza kuonesha utaalamu wako popote humu duniani. Kama mtaakacwa elimu unataka watu wamaliza sekondari wakiwa wanaweza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha basi iwe hivyo. Tuache kujifariji kwa kujidanganya kiingereza ni lugha tu kama kiswahili.

Kweli Kuna waadhiri hudhani ni sifa kufelisha, lakini hii shida Huwa siioni sana kwa maprofesa na madokta. Tatizo Huwa lipo kwa wengine na vijana pengine hufelisha makusudi Ili kujipatia rushwa na kuwafanya mabinti wajiangushe kwenye penalty box.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…