Hao wanaoitwa "hawana vigezo" wameleta sukari au wameshindwa?? Kama wameweza kuleta unawaita vipi kuwa hawana uwezo??
Kuhusu kuagiza sukari nyingi kuliko takwimu za uhaba hilo mbona liko wazi kama unatumia akili vizuri!! Actually ningemshangaa Bashe kama wangeagiza exactly kiwango kinachotakiwa.
Iko hivi, uhaba ulikuwa ni wa kutengenezwa na wahuni, hata ukiagiza sukari kidogo basi wanainunua yote na kuificha ili uhaba uendelee kuwepo, ili kukomesha hilo unatakiwa kuagiza kuwango cha kutosha ku "flood the market", kwamba haitowezekana tena wahuni hao kuinunua na kuificha.
To answer your first question, Yes ninazo akili tena nyingi sana na nakielewa ninachokiandika kwa undani kuliko unavyodhani. Ninalifamau soko la sukari nchini sio kwa kusimuliwa bali kwa kushiriki