Tuache Unafiki: Bashe alichukua hatua sahihi kumaliza tatizo la sukari. Hongera Dr. Tulia kwa kumlinda na kulinda maslahi ya nchi

Unazidi kupotea.

Unajua sheria ya kuagiza Sukari inayopelea, inasemaje ?.

Na Bashe alitoa Vibali hivo lini?.


Upungufu wa Sukari ni sakata alolitengeneza BASHE MWENYEWE.
 
Kataa uchawa.
 
Wakuu kwa sukari bashe mtamuonea tuu...
Ipo hivi mahitaji ya ndani ya sukari ni Tani 420,000...na uwezo wa viwanda vya ndani uzalishaji wake ni tan 280,000 hapa kuna ombwe la tani 140,000 za sukari ambayo itabidi iagizwe nje ili kukidhi mahitaji...

Mwaka jana kukawa na uhaba wa sukari sababu wazalishaji wa ndan au viwanda vya ndani kudai mashamba yalijaa maji...hii ilipelekea uhaba wa sukari hivyo sukari ikaanza panda bei...baadhi ya maeneo ilifika mpaka kilo sh 7,000...waziri bashe akatoa vibali kwa viwanda vya ndani kuagiza sukari nje ili kuzuia mfumuko wa bei ya sukari.,

Sasa wafanya biashara wa ndani kwa njama zao hawakutii agizo kupelekea sukari kupanda zaidi...Bashe alivyo ona agizo halijafanyika akawafutia vibali hivi viwanda vya ndani .,

Maamuzi aliyo chukua ni kuwapa vibali wafanya biashara wenye uwezo wa kuagiza sukari nje ili tu kuzuia mfumuko wa bei ya sukari na hapa ndio tunaona mpaka makampuni ya simu yalipewa tender ya kuagiza sukar nje na bei tuliona zilirudi mahali pake...ingawa ni nje ya utaratibu lakini ilitibu tatizo...

Kama wewe ungekuwa bashe ungefanyaje??? Binafsi nampa maua yake...sijajua tatizo lake na mpina lakini kwenye hili mnyonge mnyongeni haki yake apewe..
 
Mnafiki mkubwa. Mnapenda kupindisha uongo ili kuwafurahisha mabwana zenu. Ukiambiwa umtaje muagizaji aliyekataa kuleta Sukari utaweza au kujiongeleasha tu.
 
Kwann hakutoa Vibali mapema, wakati Wenye Viwanda tayari walikua wameshapeleka Barua waliomba Vibali Kwan kutakua na upungufu wa Sukari.


Barua hiyo imeandikwa lini??? Na Bashe kaja kutoa Kibali Lini??.

Je sio makusudi ya Bashe kuchelewesha Vibali licha ya Wazalishaj wa Ndani kumjuza mapema, ili tu Atengeneze Crisis ambayo atajipa Ruhusa ya kutumia vikampuni uchwara Kwa UWEKEZAJI wake nyuma ya pazia ili Apige Hela yeye na Kundi lake??.



Umemsikiliza na Kusoma ushahidi wa MPINA???.
 
Ukweli mtupu, watanzania ni watu wa ushabiki kwenye kila jambo. Ukitazama hii issue bila kuwa biased Bashe alichukua hatua sahihi kulinusuru taifa.
 
Ningekuwa chawa basi ningekuwa nasifu chama fulani consistently, pia ungeona jina na namba ya simu hapo.

Sio kila anayetoa mawazo tofauti ni chawa, open your mind.
Ni ushauri tu, kataa uchawa. Kataa ktumika na Bashe.
 
Cha
Huna haja ya kuongea mengi. La muhimu wananchi tumeepukana na uhaba wa sukari uliotengenezwa na cartels. Hiyo sukari ya viwanda vya ndani inatusaidia nini kama inafichwa ili kutengeneza uhaba. Bashe, endelea kuwanyoosha hao cartels.
 
Kasome kwanza kuhusu gap sugar ndio uje uropoke hapa. Tatizo hamsomi hata mzizi wa mgogoro huu mmebakia kusifia wanasiasa. Kafanye utafiti kuhusu muda ambao Sukari huadimika Tanzania. Kuna kipindi Cha Magufuli serikali ilitoa kubali Cha kuagiza Sukari kutoka Uganda.
 
Tatizo gani limeisha?. Mbona Sukari bei juu. Shida mnatumika kijinga, halafu Kwa Sasa uzalishaji umerudi.
Kwan mkuu sukari ulipo kg 1 ni bei gan? Na hapo nyuma ilikuwa bei gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…