zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Typical JPM follower huna akili kabisa. Sasa nchi ina uhaba wa sukari, kilo ikauzwa mpaka elfu 8 eti mtu analeta Sukari hadi bei imeshuka watu bado mnalalamika.Mzalendo Mchwara.
Una akili kweli na inayofanya kazi??
Kilichokua kinahitajika, ndicho kilichoagizwa?? Kwann uagize Sukari nyingi kupita hitaji, maana yake Sukari yetu ya Ndani iloanzwa kuzalishwa mpaka mwezi 12 huko itakuaje ??.
MPINA anahoji, kwann uwape Tenda watu wasokua na SIFA?.. mfano, Itel, stationary,,, nikisema kwamba, hiyo Sukari ya ziada ni yahawa Mafisadi , na wao ndo walitoa Pesa kwenye vikampuni uchwara ili waagize Sukari kupitia vikampuni hivo ??.
Kwa uchache nirudie tu, hivi umetumia akili vizuri kweli???.
Ingekua kosa kama angempa tender mtu mmoja pekee tungesema ni monopoly. Cha ajabu wameleta watu wengi na bei imeshuka sasa lawama za nini?
Je tulitaka sukari iuzwe kilo elfu 6 kisa wenye vibali hawaagizi? Hii nchi ina ujinga mwingi hatuwezi kuwa held hostage na watu wachache.
Kwa hili namuunga mkono Bashe,
